Kumbe paula alikuwa anamtishia mwanamke mwingine kuhusu petraus .Cnn reporting it nowMkuu wa CIA Gen. Petraeus amekabidhi barua ya kujiuzulu kuliongoza shirika la kijasusi la Marekani CIA kutokana na tuhuma za kufanya mapenzi kinyume na maadili ya ndoa; Raisi Obama amekubali kujiuzulu kwake. Uadilifu wa kiongozi unaanzia nyumbani; viongozi wetu Tanzania wanatakiwa wajifunze kwenye mambo ya uadilifu na wawe wakweli kwa wananchi wanaowatumikia; leo siasa imegeuzwa kama mradi wa kuwaridhisha vimada; ukiangalia kwenye wabunge wa viti maalumu ni utitiri wa vimada. Vingozi badilikeni!
Developing story:
November 9, 2012
NBC reported Friday that CIA director David Petraeus has resigned from the CIA, citing an extramarital affair.
NBC's Andrea Mitchell said the resignation was submitted in a letter dated Friday and was accepted by the White House.
In a letter, Petraeus noted that he had been married for 37 years and had exercised "extremely poor judgment' in conducting an extramarital affair.
Petraues took over as head of the CIA in September of 2011 following his tour as head of allied forces in Afghanistan.
Chama
Gongo la mboto DSM
The pillar of modern generals and soldiers has fallen down...what a world! I really respect this retired Gen.
He is extremely sexy and powerful.Dr. Petraeus alikuwa ni mmoja wa watu wachache sana ambao akiingia kwenye stadium yoyote marekani anapokewa kwa standing ovation; Ni bahati mbaya tu marekani imepoteza mtu muhimu sana katika upande sahihi wa historia ya taifa lake; Republicans kumsimamisha mtu huyu urais 2016 wangekuwa na a good shot at it;
His wife is hard looking .
His wife is hard looking .
weka picha ya mke wa general, au tuombe msaada kwa mbuzi aliezeeka nini!!! teh teh....
Natalia, hivi huyo general itakua kweli alikula au ni scandal tu !!!
Kwa kweli mke wake mbaya atakuwa alimuoa kwa sababu baba yake holy petraus 4star general decorated bolillionaire.Sijui alimpendaje mbayaaaaje
Mke wa general kama kagongwa na truck .she deserve it
weka picha ya mke wa general, au tuombe msaada kwa mbuzi aliezeeka nini!!! teh teh....
weka picha ya mke wa general, au tuombe msaada kwa mbuzi aliezeeka nini!!! teh teh....
Paula alihack email account ya petraus na akakuta petraus ana mademu wengine .paula akaanza kuwatishia hao wanawake .paula mgonjwa wa akili
Mnaojua Kiswahili naombeni tafsiri ya ALL IN!