Hii assassination ni moja ya mipango ya hovyo sana kuwahi kutokea. Yaani baada ya kuzima CCTV camera, kuukatakata mwili & kuuyeyusha kwa acid na kudeploy decoy ionekane Kashoggi alitoka nje, walidhani wameshamaliza mchezo. Sijui walisahau au hawakujua jamaa alimuacha nje mchumba wake?