Naogopa anaweza hata akamuua babake ili awahi kiti mapema!Hawa waarabu ni bogus sana kwani inaonekana walitaka waanzishe huu mchezo wa kuua wale "Dissidents" walio uhamishoni kwa njia hii waliyotumia dhidi ya Kashoggi na hao Dissidents wamekua wakiogopa kwenda kwenye balozi zao huko waliko hata kama wana shida.
Huyu Mohammed Bin Salman, kama atapona kwenye hii kadhia na baadaye amrithi baba yake, ni wazi kuwa atakuwa mtawala katili sana mithili ya akina Saddam kwani ni mtu asiyekubali kabisa kukosolewa.
Naona hata kuwa crown Prince alimlazimisha baba yakeNaogopa anaweza hata akamuua babake ili awahi kiti mapema!
Ninaamini baba MTU hakulazimishwa ila aliamua mwenyewe kumchagua huyo MBS...!! Lakini yetu macho.Naona hata kuwa crown Prince alimlazimisha baba yake
Maana ilikuwa sio post yake hiyo bali ilikuwa ya cousin yake na ndie alikuwa next to the throne
Huyu watamuuwa hata kabla hajafika huko
Inawezekana pia maana, wana visasi sana hawa watu, na kijana ni mtemi sana.Ninaamini baba MTU hakulazimishwa ila aliamua mwenyewe kumchagua huyo MBS...!! Lakini yetu macho.
MBS ni katili. Alikuwa anahojiwa CBS akatamka wazi kabisa akasema " no one shall remove me from power except death " hatotoka kizembe kwenye madaraka aliyonayo. Amejitolea kupambana na Ukoo wa Saudi.Hawa waarabu ni bogus sana kwani inaonekana walitaka waanzishe huu mchezo wa kuua wale "Dissidents" walio uhamishoni kwa njia hii waliyotumia dhidi ya Kashoggi na hao Dissidents wamekua wakiogopa kwenda kwenye balozi zao huko waliko hata kama wana shida.
Huyu Mohammed Bin Salman, kama atapona kwenye hii kadhia na baadaye amrithi baba yake, ni wazi kuwa atakuwa mtawala katili sana mithili ya akina Saddam kwani ni mtu asiyekubali kabisa kukosolewa.
Kama Obama alikuwa anasikiliza maongezi wa chancellor wa ujerumani na kiongozi wa EU Bibiye Angel Merkel unashangaa ya balozi...Kudukua Ubalozini kumbe na yenyewe poa tu kwao. Hakuna respect kuwa Ubalozini ni 'Land' ya Nchi inayowakilishwa.
Aibu kwa mr.presdaa DONALD... maana yeye anatetea uhusiano wake na riyadh kibiashara..
Cia hawajali hilo.. wamekinukisha...
Sasa hapo me ndio nashindwaga kuelewa hawa US wanavyocheza na akili za ulimwengu..
Taasisi zipo huru kusema ukweli bila kujali mkuu wa nchi husika anatakaje..!!
What are the consequences following sasa?...America 'll punish crown prince or ndio nitolee?
Kile kifo kiliniuma mnoo[emoji22]
Kaliamsha dude kweli...Salman anaonekana kabisa kuwa ni Barbarous
Jambo lolote linalopitia katika internet wanaweza kulisoma.Usalama ni kutotumia simu wala internet.Bora ile ya barua kwa posta zetuNimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
Yes! wa-intercept mipasho ya uswahilini huku kwa maslahi gani waliyo nayo! Calls za Middle East, Europe, Russia, China, India, Cuba, Israel, Iran, N/S Korea, Japan, Australia, etc. hizo ndio za ku-intercept na sio za mbunge fulani kumpigia mwenezi kuomba kuunga mkono juhudi.
Anadukuliwa Cansela wa Ujerumani ndio wawe hao.?Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
Labda, wamjaribu huyo kuliko huyu MBS ambaye ni "The Butcher in the making'. Nimesema, " Labda" make "The good Arab is only the dead one", ukiangalia history ya hawa jamaa ni watu "Brutal, Harsh and Savage".MBS ni katili. Alikuwa anahojiwa CBS akatamka wazi kabisa akasema " no one shall remove me from power except death " hatotoka kizembe kwenye madaraka aliyonayo. Amejitolea kupambana na Ukoo wa Saudi.
Sasa hivi katika Royal family ya Saudi kuna mpambano wa madaraka.
Yupo: Mohammed bin Salman(MBS)
:Khaled bin Salman
:Ahmed bin Abdul
Huyo wa tatu ndiyo ukoo unataka kumuondoa MBS na kumuweka yeye.
Baba handsome kama lote eti unalichop chop then unadumbukiza kwenye acid[emoji22] ...MBS anayaweza kweliPunishment lazima, hata kama Rais atataka kuitolea nje lakini U.S Lawmakers watalivalia njuga hili Zengwe.
Huyu Prince mwisho, halafu kumuua kinyama haikutosha, waka dissolve mwili wake kwenye acid kuyeyusha na kufuta kabisa ushahidi.
Yaani ukisikia kupotezwa kwenye uso wa dunia ndio kama hivi sasa.
Hata Urusi na North korea nao aliwadukua sio...?Kama Obama alikuwa anasikiliza maongezi wa chancellor wa ujerumani na kiongozi wa EU Bibiye Angel Merkel unashangaa ya balozi...
Cia wanafanya hivyo karibia kwa kila nchi na viongozi..