Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Natamani ningekua hivyo.

Zaidi ya lip gloss sina ninachoweka usoni, nikitoka nikiona wenzangu wamependeza natamaniii ila ndiyo vimenipita kushoto
Bora usitumie kabisaaa
Ukizoea utashindwa kuacha
Baki ulivyo,matumizi ya vipodozi kwa muda mrefu yana madhara
 
Bora usitumie kabisaaa
Ukizoea utashindwa kuacha
Baki ulivyo,matumizi ya vipodozi kwa muda mrefu yana madhara

Ila wanapendeza ukimuangalia mtu kawakaa wewe upo na kalipstick tu

Mtu anaenda harusini lazima apite kwa make up artist
 
Ila wanapendeza ukimuangalia mtu kawakaa wewe upo na kalipstick tu

Mtu anaenda harusini lazima apite kwa make up artist
Unaeza kupaka Mara moja moja kwenye matukio kama hayo cyo Mbaya

Ila usizoee yakupaka kila siku utafika muda utashindwa hata kutoka nje bila makeup
Au uko ofisini lkn kila saa unaenda washroom Kuretouch ,itakuwa mateso sasa
 
yaani unalala na mtu 1 unaamka na mwingine

China kuna jamaa alimshtaki mkewe alifanya Plastic Surgery akawa mzuri wakazaa watoto wabaya jamaa akamshtaki kwa kumdanganya na akashinda kESI

Na bongo muanze kushtak sasa ili tuache make-up
 
Kama huna chura hizo hela za make up kazitumie kwenye ujasiriamali ,narudia ,tunataka chura
 
Kama huna chura hizo hela za make up kazitumie kwenye ujasiriamali ,narudia ,tunataka chura
Wewe ndo wale mnakuwaga na mwanamke chura kubwa ,sura hana
Unabaki kumsifia ana zigo la kuvunja chaga,wakati hata kumtaza uson Mara mbili huez
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom