Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Taratibu sasa, hao ni wanaume wa namna gani? Au pengine sifahamu maana nzuri ya make up?
Atakuwa anamaanisha make up ya hela........
Yaaani ukimkuta kaazima gari na bet/mkeka umetemaa....
Lazima viumbe hawa waingie kingi tu wazima wazima.
 
Wewe ndo wale mnakuwaga na mwanamke chura kubwa ,sura hana
Unabaki kumsifia ana zigo la kuvunja chaga,wakati hata kumtaza uson Mara mbili huez
Narudia tena sura hata mbuzi anayo ila sisi tunatizama wowowo ,mwenye tako anajiamini kuliko degree
 
Kiukwel navutiwa na mwanamke asie na makeup hata moja,labda apake ya mdomo tuu
Ivi bado wapo kwel?
Kila nnae pishana nae barabaran,ofisini,mtaan wote wamejipodoa

Kama ulie nae hatumii kabisaaa mshukuru mungu
 
Atakuwa anamaanisha make up ya hela........
Yaaani ukimkuta kaazima gari na bet/mkeka umetemaa....
Lazima viumbe hawa waingie kingi tu wazima wazima.
Nimemaanisha makeup hizi tunazotumia wadada,

Mwanaume anaeza kupaka na ukamsahau
Kama joti ukiona video zake za Dada Kiboga kwa Mara ya kwanza na humfahamu joti sio rahisi kujua kuwa ni mwanaume

Hebu ona alivyopendezaapoView attachment 968174
_20181214_171052.jpeg
 
Back
Top Bottom