Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!
Weeeee... unazungumzia chura au tukalio?Yes. Hakuna ambaye hana
Sisi vi mbaumbau ndo kabsa soko hatuna tena mkitoka hapo mnahamia weny miguu ya temboTusiokuwa na chura tunaruhusiwa kucomment
Na utawasikia... AMENIPOTEZEA MUDA... utadhani muda wa mwanume uliweka STOP watchMnachezewaje ndugu hebu fafanua kidogo... maana raha mnapata wote
Wadanganye hao hao...Tusiokuwa na chura tunaruhusiwa kucomment
Kwahiyo na mm chura ninaye ebu acha kunijaza we mzeeWadanganye hao hao...
mhhuyo kwenye avatar ni wewe?
Unaye japo wa wastaniKwahiyo na mm chura ninaye ebu acha kunijaza we mzee
JackpotMaisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!
Unaye japo wa wastani
NAsema hiviii... waongopee hao hao... NIKUJAZE KWENYE NDOO?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee bwana unapendaga kunijaza na flatscreen yangu shunie mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NAsema hiviii... waongopee hao hao... NIKUJAZE KWENYE NDOO?
Karibu inbobo tuyajenge madyudyuz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye dyudyu yako
Aah hufai kumbeHakuna kitu. Nilikuwa najifariji tu. Niko flat had balaa
Karibu inbobo tuyajenge madyudyuz
Kwa mwanamke decent, haya ndo huwa majibu ya mwanzo (sizungumzii waigizaji).... Hawakubaligi day one, LABDA yeye ndo awe amekuzimikia... HATA HIVYO, KWA SABABU YA UTAMADUNI NA MAZINGIRA, HUWA WANAKUFA NA TAI SHINGONIMfyuuuu