mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
Mnachezewaje ndugu hebu fafanua kidogo... maana raha mnapata woteMaisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!
🤣🤣🤣Na wewe naona umejiweka kwenye kundi la wenye chura je na wewe unayo?. Kama ipo nakuomba PM
Na wewe una chura?Noted
Yes. Hakuna ambaye hanaNa wewe una chura?
Em picha kidogoYes. Hakuna ambaye hana
Usifanye ivo.
FrogChura Ndio nin
Hakuna kitu. Nilikuwa najifariji tu. Niko flat had balaaUsifanye ivo.
Mamii ndo ww kwenye hyo avatar ?Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!