Chupuchupu

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,165
2,000
Mwizi tu huyu babu,kakosa mihela kaamua kumwaga mboga..hana tofauti na wale wezi wengine..
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,745
2,000
Mwizi tu huyu babu,kakosa mihela kaamua kumwaga mboga..hana tofauti na wale wezi wengine..
Pesa bwana, babu asingetofautiana na Tanesco yote haya yasingejulikana, hata nguvu ya Zk inatoka hapa

Tusubiri kuona mwisho wake ila naona kama kuna vifo vya ghafla vitatokea
 

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,011
2,000
unajua wana ccm wengi wakifa, anayelia ni familia zao tu. mgimwa na nyerere tu ndio nakumbuka waliniliza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom