Chupi za wadada zenye mfuko kwa mbele ni maalum kwa kuweka nini?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Nimeona wadada zaidi ya wanne wamevaa hzo chupi (tembelea ufukweni).

Sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu?

Nielewesheni jamani
 
Niliwahi kumshuhudia m1 akiwa anahifadhi ndomu humo ndani ya hutwo tupochi... yaani lol!!
 
Kukiwekwa kitu si kitaharibika!! mana kile kipochi manyoya huwa kinatema heat la hatari!!
 
Kama umeipenda kanunue na wewe uvae ndo utajua matumizi ya huo mfuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…