Boxer, Sitaki hata kukutana na mwanaume aliyevaa chupi, ntazirai.
Vyote ni vivazi muhimu ufanisi wa kilichomo ndani!!
Ipi ipo poa mazee
Nisivopenda hivo vivazi, sioni poa hata kimoja....
acha upepo upulizeee
Vivazi navyo vinahamasisha, akivua nikikuta chupi mzuka wote utaisha
haahaaa! Kwahyo unaniambia unaiacha tupu
Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini?
akuuuu mi natembea chukuchuku tu
ipi ipo poa mazee