Chupi kwa kina dada- tuijadili...

[h=1]
100 years of evolution of female underwear[/h]
 

Attachments

  • 100-years-female-underwear-evolution.jpg
    8 KB · Views: 70
'G string' aka 'Thong' ndo mpango mzima. huhitaji kupandishwa ashki. Akichojoa tu pamba zake, unajisikia uko dunia nyingine.
Hii ndo kazi ya pichu bana!
samahani lkn kwa wale dada zetu wenye kuvaa bukta, hapo pichu haina kazi.
 
mhm huyu honeybed anaobngelea sana hii topic...unapenda sana chupi nini? wapenda color gani na aina gani?
 

usiku uvae chupi tena!!! kha!!! papuchi itapumua saa ngapi?
 

duh, mbona wengine kama wamevaa nepi za watoto atii?
 
hvi hii mada inahusu nini?? halafu kwan ijadiliwe ya kike tu na sio ya kiume?? ptuuuuuuu
 
kwa chupi ina muhimu sana kwa dada zetu fikiria tu dada zetu wako tofauti kimaumbile haswa wanapokuwa kwenye siku zao unategemea nini kama wasingevaa chupi? wenzetu ni tofauti wakati mwingine kuna maji maji yanatoka huko chini bila chupi ni aibu sana sisi hatuna buguza kwenye swala la chupi
 
Wanaume huvaa boxer sio chupi! Hii ni kwa ajili ya kuipa nafasi dushelele ipate nafasi ya kuwika anytime..!
Iwe boxer, wrestler, footballer zote ni chupi tu.
In english, the undergarments or simply put underware, a.k.a pants!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…