Chupi imeleta kizaazaa

Story hii niliisoma kwenye gazeti la uwazi tarehe 21/02/1999.(swali kwa waliioa tu)
 
Niko safarini kuelekea kwao kwenda kuangukia. Nalog off
 
washawasha inaonekana wewe ni mtoto wa totoz iweje wife akutilie mashaka namna hiyo ?
Hapana Mama wa Kaya,ila chuki zake na huyu demu ndio zinamfanya aamini hivyo. Nalog off
 
una suuza chu pi ya mtu usiejuana nae? hicho kilanga!
 
Duh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?
Umenichenjia kibao? Lazima aninyooshee maelezo. Nalog off
 
Niko safarini naelekea kwao akikataa kurudi ning mpango wa kufanya mgomo wa kutotoka nyumbani kwao muda wa siku 7. Nalog off
 
Kisa kimenifurahisha sana. Nitarudi baadae, acha nikapate cha mchana kwanza
 
mi mwenyewe nimeshangaa kweli...mwanaume mzima unapinda mgongo bafuni kusuuza chupi ya mwanamke asiye mkeo?? ngumu sana kuingia kichwani..yaani ni ngumu sana....
Mkuu tatizo umeshazoea vyoo vyenu vya kizungu kwahiyo unashindwa kuvuta picha jinsi gani choo chetu kilivyo,unachokiamini wewe ni kwamba mazingira ya vyoo yanafanana. Nalog off
 
kiherehere kimekuponza kaka wewe ungeirudisha kwenye msumari na huendelee kuoga,endelea sasa kumsuuzia kwa nafasi
 
Mzaha huu unauleta kwasababu hayajakukuta. Ila natamani siku umkute The Boss anaisuuza chu pi ya yule jirani yenu au mmeshahama pale mlipokuwa mnakaa zamani? Nalog off

Kwani umemkaribisha kwenye kampuni yako ya Udobi wa chupi za wananawake wooote hapo mtaani? Ana uwezo wa kuhesabu vidole vyake vya mikononi kwa hiyo hawezi fanya hivyo. Hii ni kwa mtu asiyeweza hesabu vidole vyake tu.
 
Why in the hell would anyone wash someone else's unmentionable?
 
Pole sana kwa yaliotokea,Lakini si unajua sheria ilivyo!
Toa hasira zako kwa alieleta kizazaa
 
Kweli huyu ndo Washawasha... Yaan mpaka unafua nguo ya ndan ya mwanamke asiye wako mmh? Ili iweje sasa na ulijuaje ni ya huyo mdada kama hujawah kuiona? Tabia hii sio njema kbsa.... Hebu jiulize kama ni ww unamkuta mywife anafua boksa sio yako? Nalog of
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…