Saa hizi tungesikia murder kesiDuh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?
1. Tuko familia tatu,wawili tumeoa ila yeye ndiye hajaolewa. 2. Mlango wa bafuni hauna komeo na muda wote unakuwa uko wazi ila mtu akiingia msalani ndio anausindika 3. Nimefanya hivyo kwasababu iliangukia ktk yale maji machafu niliyoyakoga,kwasababu lazima ufanye usafi kwa kuyafagia yale maji yaingie ktk shimo,nisingeitoa ndio ningezidi kuichafua. Nalog offNimesema hilo fumbo gumu...nimekupa mji ili utujibu yafuatayo:
1. je hiyo nyumba mnakaa familia mbili wewe na huyo mdada tu kwa kuweza kutambua chupi hiyo ni ya mdada au unaifahamu?
2. je hilo bafu halina komeo kiasi cha mtu kuingia tu wakati kuna mwingine? au ulikua ukimsubili huyo mdada?
3. apia kama kweli hauna uhusiano na huyo mdada. kwa urahisi wako wa kuiokota na kuanza kuifua hiyo chupi ni kweli una uhusiano nae
. Nalog off
Nishapoa. Nalog offPole sana!
Una haki ya kutotaka pia. Nalog offhuyu anataka muizoee kauli mbiu yake ya ''nalog off''
kinachoniuma huyu binti sijawahi hata kugusia yale mambo yetu,ila nitaenda kuangukia.Nalog off
Nimeshapoa Mkuu nashukuru kwa pole yako. Nalog offpole mkuu, bahati mbaya
Nikienda kuangukia nitakuwa MTARATIBUUUUUU ili arudi nyumbani. Nalog offMfuate mkeo kwa upole na utaratibu umueleweshe na uwe muwazi,ukibabaika kidogo tu ktk maelezo yako atatia mashaka zaidi ya hayo aliyonayo,atakuelewa 2 ila ucjefanya hivyo tena unaweza poteza uaminifu wote kwa mkeo
Duh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?
Mzaha huu unauleta kwasababu hayajakukuta. Ila natamani siku umkute The Boss anaisuuza chu pi ya yule jirani yenu au mmeshahama pale mlipokuwa mnakaa zamani? Nalog offHadithi hii inatufundisha tuangushe chupi za majirani zetu wote wa kike, tusikusanye kwenye beseni moja, tuzifue weeeee hadi mke anikute.
Mkuu mlango wetu hauna komeo,ishara tunayoitumia mtu akiwa msalani anausindika na anapotoka anauwacha wazi. Nalog offNingekuwa na nafasi ningekosoa! Inamaana hiyo maliwato haina mlango? Iweje umfungulie mlango huku unafua chupi? Hi ni novel
Mkuu mlango wetu hauna komeo,ishara tunayoitumia mtu akiwa msalani anausindika na anapotoka anauwacha wazi. Nalog off
Ahsante,ila kwa sasa yuko peke yake hakuna mwanamke wa kike mwingine,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog offMshenzi weeeeeee, umeshamla huyo na haya machale ya mkeo yuko sahihi kabisa. Kwanza umejuaje kama hiyo ni chupi ya huyo dada? vp kama na huyo dada aliikuta hiyo chupi na kwamba ni mwanamke mwingine ndiyo aloisahau sio yeye?
Sawa Mkuu,niko safarini kuelekea kwao. Nalog offHapo huna ujanja, inabidi uombe samahani saaaaana, yaani "My wife Wako" amekukuta unafua chupi ya Mdada!!!!! Huna la kumwambia zaidi ya yeye kufahamu kuwa unakula uroda hapo. Lakini ongea naye vizuri atakuelewa ingawa hatakuamini tena.