Chupi imeleta kizaazaa

AAh ata mi sikuamini utaanzaje kufua chupi ya mtu, mkeo yupo sahihi sana.
Kwanini usinge okota nakutundika ilipokua? Kiherehere kujitafutia ujiko kimekuponza.
 
Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
Wewe zako huzianika wap? Kiafya ni vema nguo za ndani zianikwe juani.mbona hakuna tatizo kuzianua.Hata kama hakuna mvua ukiona zimekauka zianue zikunje vizuri muwekee akifika unampatia jirani yako
 
AAh ata mi sikuamini utaanzaje kufua chupi ya mtu, mkeo yupo sahihi sana.
Kwanini usinge okota nakutundika ilipokua? Kiherehere kujitafutia ujiko kimekuponza.
Nimeikuta Safi nitairudishaje chafu? Kulikuwa hakuna jinsi zaidi ya kuisuuza tu Ila hili tukio limenifanya nimuopoe huyu mrembo
Nalog off
 
Nimeikuta Safi nitairudishaje chafu? Kulikuwa hakuna jinsi zaidi ya kuisuuza tu Ila hili tukio limenifanya nimuopoe huyu mrembo
Nalog off
Najua hilo ndio ilikua nia yako mkuu lkn kibaya unatumia kivuli cha mkeo kuonekana wewe ni mwema,
Ni haki yake kuwa na wivu hatari sana.
 
Wewe zako huzianika wap? Kiafya ni vema nguo za ndani zianikwe juani.mbona hakuna tatizo kuzianua.Hata kama hakuna mvua ukiona zimekauka zianue zikunje vizuri muwekee akifika unampatia jirani yako
huyu member uliye mquote tayari ni marehemu ,tulisha mswalia dua kama miaka 5 iliyopita humu JF
 
Kinachomtesa mke wako ni kwamba hajiamini maana mpaka hapo uko accused na kosa ambalo hujalifanya. Unaonaje ukaongea na huyo mpangaji mwenye chupi yake mkapiga show moja ili uwe accused kwa halali? ni wazo tu
 
hii n gahawa,mkeo ataingiaje bafuni ukiwa unaoga for what? katunge upya hadithi yako
 
Chai chai.
 
Nimeikuta hii moja imenichekesha kidogo, et kukaa siku 4 bila kutombana ni kosa kubwa, ww unaionaje hiyo?
 
Ingekua ya mwanaume ungeisuuza? Kuna walakini ndio maana mke hakuelewi. Tena umeshaimaki na ukaitambua kwa haraka. Huenda ulishaishika tena sio mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…