Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
- Thread starter
-
- #341
Baada ya songombingo lile ndio uhusiano ulianza,alinionea huruma sana kwa ustaarabu niliouonesha.Hapa,pana ukweli, uliokuwa unafichwa, inaonyesha, hii ni nyumba ndogo ya siku nyingi, ndio ilizaa kile, kilichobatizwa jina jingine -et 'USTAARABU' Ona sasa, mambo hadharani. Nilishauri tu, hii isingeingia humu, linaweza kuwa la aibu, kama mtu atasoma Kati ya neno na neno. NISAMEHE SANA MKUU, MIMI NIMESHATOKA HAPO.
Ningeisuuza bila tatizo.Hatuwez kumuuliza sifa zako mtu aliyerudi kwao kwa kuhisi unamchepukia, alafu uungwana ni vitendo hivi iyo chupi ingekua ya binti yako iko bafuni ungechukua hatua gani za haraka kwa mfano?
Nimeijua ni ya huyu Dada kwa Kuwa tunaishi watatu,Mimi,your my wife na yeye,chupi za Mke wangu zote nazijua kwa Kuwa Mimi ndiye nimnunuliae,sikubali kabisa Mke wangu ajinunulie chupi. Kwahiyo ile chupi nzuri ilikuwa Ni ya huyu bint na yeye alithibitisha.Hapo kazi unayo,,,,,, ww ulijuaje kuwa hiyo chupi Ni ya huyo Dada?????? Tueleze story nzima maana inaonekana mnajuana na Huyo bidada
Mke wangu karudi na yule bint akawa nyumba ndogo.Huu uzi ni wa 2011 vipi tupe mrejesho
Nalog In.Mke wangu karudi na yule bint akawa nyumba ndogo.
Nalog off
hahhaaaa nalog offNasubiri u Login ili nami nichangie
Ndio popobawa nillikuwa nikiisuuza.Nalog off
Ilikuwa balaa kwa kweliUstaarabu umekuponza mkuu..Pole sana..
Nimeshapoa mkuu,ahsante sanaMzee wa kulog out yamekukuta kwa kweli. Hahahaaa. Pole sana kijana
Alikuwa anataka anisugue mgongoniHuyo mke wako alifuata nini kwenye bafu la nje ukiwa bado unaoga?
Chai....
Haya ndio majina mazuri ya kitanzania sio majina ya kucopy na kupaste ya wazungu na waarabu,ipende Tanzania,kipende kiswahili kwa kumwita mwanao majina ya kiswahili,usikubali kumpa mwanao jina la kizungu au kiarabu,hayana mpango.Majina mengine bhna washawasha anamjibu popobawa
Tumezoea nikogapo huwa anakuja kunisugua mgongoni.Sasa ww unaoga umeegesha mlango mpaka wafu kakufuma
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off
Mimi ninayesoma maandishi Yakombulula kweli