Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
- Thread starter
-
- #221
baada ya kumaliza kukoga nilikuwa nina mpango wa kwenda kumutaarifu mwenye chu pi yale yaliyotokea.Nalog offwe jamaa inaonyesha ni mtata sana ulianzaje kussuza kwan mwenye nayo alikuwa ameifua? na ye angeikuat mbichi c ndo mkeo angekuta mnagombana kwanin umefua chupi yake ila pole
baada ya kumaliza kukoga nilikuwa nina mpango wa kwenda kumutaarifu mwenye chu pi yale yaliyotokea.Nalog off
Hapana bado sijambandua,ila nimeijua kama yake kwasababu yuko yeye peke yake hapa nyumbani kwa sasa,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog offWewe ulijuaje ni ya huyo mpangaji mwenzio?! Usham.t.i.a halafu mmmh kwaheri. Nalog off source washa*2
Nilijuwa kuwa ni yake kwasababu kwasasa yuko peke yake,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog offKwenda zako ulijuaje ni yake?! Nalog off
Nashukuru mkuu nimeshapoa. Nalog offdah! pole sana mzee ndio ukubwa huo
Nguo yenyewe ni G-string nyekundu ilikuwa imetundikwa nyuma ya mlango wa hiki choo,mlango ulipigwa na upepo na kuiangusha hii nguo. Nalog off
kwani huyo mwenye chupi wewe unamuonaje?? hafai?? anza naye mazungumzo maana nature does not allow vacuum, kwa nini uendelee kupata presure na sukari kupanda shauri ya mti mwenye wivu kupindukia?? hata hili likiisha litatokea jingine maadam hakuamini always look for permanent solution to your problems!! kama amejiuzulu tangazo jimbo liko wazi itisha uchaguzi mpya!! A good manager is the one who can hire and fire until he gets a right person!!!nimebembeleza lakini kama kapatwa na shetani hataki kabisa kunielewa.Nalog off
Nilijuwa kuwa ni yake kwasababu kwasasa yuko peke yake,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog off
Hapana bado sijambandua,ila nimeijua kama yake kwasababu yuko yeye peke yake hapa nyumbani kwa sasa,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog off
basi maliza kabisa...mpaka! Kwanini ukubali kusingiziwa?
Ni ya wavuwavu na maua yaliyodariziwa vizuri kabisa wembamba wa string ni kama wa wire unaopeleka umeme kwenye DVD machine ila sijui kama inaziba yale mambo ni nyembamba mno. Nalog offni ya maua maua, nyavunyavu, na wembambwa wa string unaweza kuufananisha na nini ili tuweze kupata picha..
Hakuna shaka nitamwambia aangalie kama anataka katiba mpya au hii hii ya zamani. Nalog offkwani huyo mwenye chupi wewe unamuonaje?? hafai?? anza naye mazungumzo maana nature does not allow vacuum, kwa nini uendelee kupata presure na sukari kupanda shauri ya mti mwenye wivu kupindukia?? hata hili likiisha litatokea jingine maadam hakuamini always look for permanent solution to your problems!! kama amejiuzulu tangazo jimbo liko wazi itisha uchaguzi mpya!! A good manager is the one who can hire and fire until he gets a right person!!!
Umeona eh! Nalog offMen are hunters by nature
Yanahuzunisha. Nalog offDuh! Mambo mengine jamani............
Ni ya kwake maana mie nilimfuata kumwambia yalijiri bafuni.kwahiyo asishangae akiikuta chu pi yake imelowa. Nalog offMimi nafikiri si sawa kukonkuludi kuwa ni ya huyo mdada, pengine mpangaji mwanzako huyo mwenye mkewe alosafiri alimkumbuka mkewe na kuamua siku hiyo ajisetiri. Na mimi nalog off.
Itanibidi nimlog in huyu binti halafu nimlog offbasi maliza kabisa...mpaka! Kwanini ukubali kusingiziwa?