Chupa za plastic kwa ajili ya juice

Chupa za plastic kwa ajili ya juice

Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
naomba nami nielekeze hapo kiwandani niende kununua chupa za asali
 
mimi nachukulia kwenye masuper market wanauza kama ifuatavyo.

disposable plastic glass

200ml + lid X 50 wanauza sh 6,000/
400ml + dome/lid X 50 wanauza sh 7,500/

ila kiwandani itakuwa cheaper
Pamoja Mkuuu shukran
 
Wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu kwenye hii mada kwani nimefanikiwa kupata chupa leo asubuhi kutoka kiwandani. Kiwanda kipo mbezi makonde kuna njia inaingia upande wa kushoto baada ya kituo cha dala dala ukitokea mwenge.
Sawa naomba nami unielekeze
 
Back
Top Bottom