Bellami
Member
- Aug 8, 2014
- 53
- 17
Habari wana jamii, nakuletea chupa za chai nzuri zisizopooza uwekee chai, uji, mtori, kahawa, na kadhalika litre 1 elf 25, litre 1.8 elf 30 , litre 2 elf 35 na la litre 3 elf 45 kama zionekanavyo kwa picha karibuni sana wakuu. Dar es Salaam
Kinondoni 0752976792 delivery ipo 😊.
Kinondoni 0752976792 delivery ipo 😊.