MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Mwj1 mnh...fonts zangu hizo Mpenzi...umenishtua!
Au ni uchokozi tu? LOL...
Mbu mie nina tabia moja.......sijui kama ni mbaya au vipi........nikikosewa na kama hujayarekebisha, huwa nina'mute' mpaka kwa bibi...........yaani hata unitekenye vije 'bibi sijamfungua' na si kwamba nafanya kukomoa la hasha....... hata nikisema nimfungue 'bibi' hupata maumivu makali (nadhani ni psychological effects)........!!!
Huwa ninaamini kuwa kuna connection kati ya "bibi" na hisia. lol .......but huwa niko flexible nikiona umekaza buti (hutaki kuzungumzia lililotokea) huwa ninachukulia kuwa kwa wewe kutaka 'bibi' (Hapa kama umekosea yaani hata mwezi nitasubiri........sianzi wala kuchokozai!!) ni ishara ya wewe kutaka suluhu......sasa ole wako nimpe ruhsa 'bibi' halafu kesho we uendeleza mnuno..................ah sahau
Inawezekana 'am too focused'...hiyo ya makosa, kuna mengine sitavumilia kabisa nimemaanisha hivi ..mfano ikitokea nimeolewa, halafu mume akanilete mtoto mdogo kuliko ndoa yetu tena mshtukizo, hapana kabisa sifikirii mara mbili! yes huu ni msimamo wangu!!..
Sijawahi kujuta giving-up mana nafahamu ni kwasababu maalum and I take it very positive..kwamba imeshindikana imeshindikana au nimeshindwa nimeshindwa!!No costs so far!!...
Siumiagi kumwona mtu anamwangalia mdada mwingine, asitoe udenda tu na kuchukua hatua zaidi ya kuangalia..bwana eeh, duniani kuna kuzidiana Mbu..huwezi kuniambia wewe huangalii pembeni akipita mtu amekushtua🙂) pia sizidishi kiwango halafu lazima niwe nimemsoma mpz kabla ya tukio..!!
All in all umenishangaza, yani +ve traits hujachambua hata moja, job tru tru!!..halafu nilitanguliza -ve makusudi mana watu wengi hupenda kuhesabu makosa au mambo mabaya badala ya kufurahi upande mwingine wa watu..
Ukweli mimi ni muwazi kama nilivyosema 'sina rangi mbili/tatu wala zaidi..nipo nilivyo!!thanks kamanda!!
Bado sijapata mwenza wa ukweli Mbu. Sasa hapa nita ungama nini? Labda nisome vya wenzangu. Ila nahisi mi nimbishi kweli sipendi kushindwa halafu natamani mwanaume mwenye akili za kiume. Sio mwanaume hawezi kuamua mambo na kufanya mambo kama mwanaume. Haya ndo namsubiri sijui atatokea lini.
Dah Mbu mwenzio mi nikiamini ninachokijua ndo ukweli huwa nakua mbishi na kuupigania huo ninaouamini kwa nguvu zangu zote. Labda baadae ntakaa nakufikiria kwa kina huku nikilingalisha na ile tofauti. Sasa napogundua kuwa mi nlikuwa wrong kinaniuma kweli kweli. Hata nkiomba msamaha naonekana hata si maanishi. Lakini hi ninayo kwa jinsia ya kiume zaidi. Siwezi kubishana sana na jinsia ya kike. Nkisema wasipoelewa naacha tu. Au nakua upande wao. Halafu pia nina moyo wa kujihukumu sana.
hayo majukumu unayaweza wewe binafsi na Mungu wako..ila ukishajigundua ndo uhuru wako unapoanzia...Unaposema mwenza unamaanisha nini?..kama ni mume, basi hauko peke yako.Kaka mpendwa nisaidie, nisiwe mbishi basi. Sasa umependezwa na nini? Kutokuwa na mwenza au unashangaa ubishi wangu tu?
Mbu mie nina tabia moja.......sijui kama ni mbaya au vipi........nikikosewa na kama hujayarekebisha, huwa nina'mute' mpaka kwa bibi...........yaani hata unitekenye vije 'bibi sijamfungua' na si kwamba nafanya kukomoa la hasha....... hata nikisema nimfungue 'bibi' hupata maumivu makali (nadhani ni psychological effects)........!!!
Huwa ninaamini kuwa kuna connection kati ya "bibi" na hisia. lol .......but huwa niko flexible nikiona umekaza buti (hutaki kuzungumzia lililotokea) huwa ninachukulia kuwa kwa wewe kutaka 'bibi' (Hapa kama umekosea yaani hata mwezi nitasubiri........sianzi wala kuchokozai!!) ni ishara ya wewe kutaka suluhu......sasa ole wako nimpe ruhsa 'bibi' halafu kesho we uendeleza mnuno..................ah sahau
Lol kumbe nimedesa mpaka mwandiko?? Loh...........sijui bwana mambo ya IT mie naonaga maua tu.......... pole kama nimekukwaza.
Naomba kukuuliza...............umesema wewe tabia yako mbaya ni kuwa mbishi loh... huwa unabisha with hoja na kukubali kama umezidiwa au unabisha tu na kwa kuwa wewe ni mwanaume (sorry I respect that) unategemea ukubaliwe na kupewa ushindi??
Weakness yangu nyingine ni kupenda kuliko kiasi....yaani ninajitahidi kuibadilisha hii
Nikipenda huwia inajitahidi kujifitisha kwenye maisha ya mwenzi wangu...........nachange kabisa tabia zangu ili kufit kwenye matakwa yake.....I hate that and am struggling to change>.................
Kwanini tena uondoe quality yako nzuri ubishi ndio mzuri sababu mtu anakupa challenge kuliko kukubali yote unayosema, it means siku ukimkubalia inamaanisha ilo jambo ni perfect yaani hata wewe unalikubaliKaka mpendwa nisaidie, nisiwe mbishi basi. Sasa umependezwa na nini? Kutokuwa na mwenza au unashangaa ubishi wangu tu?
Dah, Mbu mbona unanitisha hivi, hivi kinyume cha ubishi ni nini? Halafu sasa mbona hata mi mwenyewe sijui kwa nn ni mbishi? Dah au ni kiburi? Au ni kujikweza? Au ni hasira wajameni. Nisaidieni binti mimi, au maneno mengi? Dah au napenda sana sifa? Manake nkipatia nachobisha nafurahi kweli kweli. Dah siwezagi kunyamaza mtu akinisema sema jamani. Uwiii nyie huwa mnafanya je?
BJ I wish ningewezakuwa kama wewe loh...........nahisi ni kutokana na kule nilikotokea..jamani hamjui inauma kiasi gani mtu kakukosea.....kwa makusudi, haombi msamaha wala hasawazishi kiutuuzima afu ikifika muda unasikia tu....geuka huku!! sawa una'swallow your pride' unageuka .......afu baada ya hapo haichukulii kama ile 'geuka'yako kama ni sehemu ya kumake up.........anaendeleza mnuno....mpaka siku tena 'babu' ana kiu ah.... acheni tu. I used to have a theory kuwa ...kama diplomacy imeshindikana, basi bibi/babu will do but unfortunately kwangu haijawork.bibi na babu hawajakosana wanastahili haki zao halafu ugomvi uendelee kati ya bibie na babuu!!..tutadoo vizuri na nitafurahi vizuri ila asidhani yameisha, nitamkumbushia baadae kuwa ulikosea vile na vile..kwahiyo jirekebishe!!..ila bibi sibanii, tena kwa raha zake anamhitaji babu!!..
...ooohh, pole BJ,
Lengo, nia na madhumuni yangu kwa thread hii ni kubadilishana mawazo kwenye....Samahani kama nimekukwaza, we'll come back to that.
...sasa mwenzio atajuaje umeridhia au hujaridhia bana? Una ishara kama traffic lights? hebu kuwa mpole naweeee...Gubu hilo, lol!!!
Oooppsss, ...Mwj1 mimi hupendelea tu mwisho wa siku points zangu nazo ziwe zimekubalika, hata kwa shingo upande. Am sorry, ni katabia kabaya sana lakini najiskia furaha kweli. Kuna kipindi Natamani ningesomea Sheria, kwenye cross Examination nipambane na upande wa mashtaka!
Sio kuwa convicted (kirahisi rahisi) without a reasonable doubt!
Hilo la kupenda kupindukia mbona wenzio ndio tunalilia? Penzi hilo...kutunukiwa thamani yake miye naijua, naitamani...
Sintotaka mwandani wangu apunguze,...yanini kupunguza ilhali roho inatamani?
Hebu acha huko!
BJ I wish ningewezakuwa kama wewe loh...........nahisi ni kutokana na kule nilikotokea..jamani hamjui inauma kiasi gani mtu kakukosea.....kwa makusudi, haombi msamaha wala hasawazishi kiutuuzima afu ikifika muda unasikia tu....geuka huku!! sawa una'swallow your pride' unageuka .......afu baada ya hapo haichukulii kama ile 'geuka'yako kama ni sehemu ya kumake up.........anaendeleza mnuno....mpaka siku tena 'babu' ana kiu ah.... acheni tu. I used to have a theory kuwa ...kama diplomacy imeshindikana, basi bibi/babu will do but unfortunately kwangu haijawork.
In addition Mbu...kuna yale ya
Mavazi, kazi e.t.c..........eti wakati wa uchumba kila vazi uvaalo wasifiwa, kazi yako wasifiwa afu baada ya 'pingu' .......nguo hazitaki na kazi waambiwa uache au ubadili!!!!Mi huwa sielewi kwa kweli, pengine nina matatizo!! ninaomba mnisaidie
Nimekusoma Mbu na kukuelewa!..halafu hujanikosea, hivyo don't be sorry bwana!...
btw kumbe wewe n mwepesi kuomba msamaha eeh?....thanks kwa mada nzuri!!
halafu fafanulia me ukiweza, aina gani ya malezi umekulia inayokupelekea kutaka kuwin arguments?
....................Mbu jamani hivi kweli we ukimwudhi mpenzio, hutonote mpaka akwambie?? Hata kama sijasema (bahati huwa inachukua nguvu za ziada kuniudhi mie....mambo madogo nikilisema leo nimemaliza) .....na hapo ni kosa ambalo nimeshakuomba na kuomba kuwa sipendi husikii!!! Hapana kwa kweli nadhani as part of responsibilities ni kujua nini mwenzio anakipenda na kipi hakipendi ukiavoid.
Hapa mydia umeeleweka and I want to assure you kuwa kina kaka wengi sana huu ni ugonjwa wao......na nadhani wanawake wengi tunajisahau na kutaka kushindana katika mahojiano.............. mie marehemu bibi yangu alikuwa ananiambia kuwa ' mwanaume huwa haambiwi, hukumbushwa'...........kuwa kama mumeo/mpenzio hajafanya kitu/amekosea usimwambie.mpenzi unajua hapa umekosea, ulitakiwa ufanye a,b,c' bali mwambie ' Sweetheart, mbona unasahau kuwa kufanikiwa hili unatakiwa kufanya a,b, au c?.umesahau?' hata kama unajua kuwa hakuwa anajua........
Mh we acha tu Mbu....... sitaki kabisa. Nina ugonjwa wa kusahau.............yaani leo umenikosea nipep siku tatu.nikiitwa mahakamani nitoe ushahidi wa kosa ulilonifanyia ..................sikumbuki!!!
hayo majukumu unayaweza wewe binafsi na Mungu wako..ila ukishajigundua ndo uhuru wako unapoanzia...Unaposema mwenza unamaanisha nini?..kama ni mume, basi hauko peke yako.
Mleta thread amefanya vizuri, angalau watu wanapata nafasi ya kujichunguza nafisi zao.. Mbu big up
Mwj1...mimi ni mwepesi kuhisia something is not right nikishaona mwenzangu umekuwa cold ghafla.
Kama nimekuudhi kwa makusudi, nitatumia njia zangu nizijuazo 'kuua soo!'...shida ni kwamba, sio mara zote njia nitazotumia zitakuwa zinakidhi matarajio yako.
Mfano; Labda wewe ungependa nikukumbatie yaishe, wakati mimi nategemea nikikwambia "basi yaishe!" inatosha. Hapo inabidi uwe mwelewa.
Unless, from the beginning am sorry was always accompanied na a hug!
Kuna wale I forgive you means 'sex!,'...yaani bila kupewa haki yake anaona bado kanuniwa!
Huo nao ni mtihani ambao ningependa kuukwepa.
Apart from that,...huwa naomba clarification mtu amenunia nini,...zile za mnn, hamna kitu...huniachia maswali zaidi!
(pheeeeww, nimejishtukia naku address wewe as if wewe ni....hii kali)
eh........usijenfanya nikachukiwa bure..............
Afu huyo MJ (Michael Jackson) kwenye signature yako ..........Kwa nini hakuongezea One huko mbele lol