hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 457
Nakumbuka namna namna nivyokuwa na hamu ya kufika chuo kikuu. Namna nivyosikia simulizi za kuvutia juu ya maisha mazuri yaliyojaa anasa na starehe wanayoishi wanachuo.
Hakika nilitamani na kuvutiwa kufika elimu ya juu.
Mungu si JOHN Siku ya siku nami nikafika form six nikatia bidii kusoma,japo masomo ya PCB yalikua magumu...kwa jitihada na uvumilivu na kumtanguliza Mungu nikafaulu vizuri kwa daraja la pili..
Siku hazigandi baada ya muda nikajikuta chuoni nikisoma masomo ya udaktari wa madawa..KIPINDI CHA JAKAYA ILI MRADI UPATE ADMISSION PESA YA MKOPO AU GRANT YA WIZARA INAKUHUSU
Nijisahau kuwa mimi niko shule ya tofauti shule ngumu kidogo nikaanza mitoko ya club za usiku
Pombe ndo ukawa kinywaji changu....
Sikutaka kuona mwanamke mzuri anakatiza mbele yangu lazima nimgegede, sikujali ni mwanachuo au kahaba wa baani
Siku zikaenda semister ya kwanza ikakatika ni kafaulu kimazabe nikiwa na kimeo cha BIOCHEMISTRY hakika ANATOMY sijui nilipataje ile C..
MAISHA YAKAENDELEA NIKAFANIKIWA KUINGIA MWAKA WA PILI, MFUMO WA MAISHA HAUKUBADILIKA ....
Nikawa mlevi mbwa
Wenzangu wakanishauri nipostpone mwaka sikuwaelewa
Nikaanza kula pombe za kienyeji
Nalala hukohuko ubandani hakika nilizamia katika ulevi shule nikasahau TEST ZIKAPITA nikawa drop out. Maisha ya chuo yakanishinda
Nikajipa matumaini ah kama nimefika chuo kikuu maisha ya mtaani hayawezi kunishinda nikaingia mtaani bado na mentality ya kishuleshule Kazi ngumu nikawa sitaki nikiamka nacheki movie jioni ikifika nambomu MTU naingia baa kupiga mizinga kiukweli MAISHA YAKANICHANGANYA WASHIKAJI WAKANITENGA NIKAPATA MARAFIKI WAPYA WANYWA MATAPUTAPU WENZANGU KIUKWELI MATUKIO YALIYOFUATIA NA BALAA.Nikajikuta naingia kwenye ukinzani was sheria nikaanza kuwa mwenyeji POLICE NA MAGEREZA
Sikh moja nikiwa nimetinga pombe za kila aina kuanzia bia,chibuku,Congo na ugoro juu nikajisikia usingizi nikaamua kwelekea kwa mzazi kupumzika nikiwa navuka Barbara ghafula usingizi ukanipata nikiwa katikati ya barabara kilichofatia ndo kilibadilisha maisha yangu mpaka Leo sitaki kusikia mambo ya pombe na anasa.....itaendelea