Chuo ni sehemu ya msoto kwa watoto masikini

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,352
Hello! Fikiria umepata boom la laki tano, wewe ni kijana wa kiume. Kodi kwa miezi sita 180k, ada 200k. Unabakiwa na hela ya kawaida mno.

Hapo bado una tamaa za kimwili na utahitaji kutumia pesa kwa malaya, kwa kuwa demu mzuri mwenye figa huwezi mpata kwa hela ya mawazo.

Katika matumizi yote unajikuta huvai vizuri(bokm halitoshi), hela kiwahi kukata na wakati mwingine nyumbani napo utume, mama au baba mgonjwa etc.

Unaingia kwenye punyeto kwani unashindwa kumudu gharama za malaya na kuwa na mpenzi umpendaye. Unaona wivu kwa wenzio kutoka familia tajiri wenye mademu wakali n.k

Mwisho wa siku unapata msongo wa mawazo na kufikiria kujiunga kwenye vyama vya giza. Daah! Watu wanadhalilika mno chuo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

NB: according to my observation nilipokuwa chuo.
 
Anaewz kunielewsha uhusiano Kati ya msongo w mawzo na nyeto unapatikanaje anisaidie..
 
Hello! Fikiria umepata boom la laki tano, wewe ni kijana wa kiume. Kodi kwa miezi sita 180k, ada 200k. Unabakiwa na hela ya kawaida mno.

Hapo bado una tamaa za kimwili na utahitaji kutumia pesa kwa malaya, kwa kuwa demu mzuri mwenye figa huwezi mpata kwa hela ya mawazo.

Katika matumizi yote unajikuta huvai vizuri(bokm halitoshi), hela kiwahi kukata na wakati mwingine nyumbani napo utume, mama au baba mgonjwa etc.

Unaingia kwenye punyeto kwani unashindwa kumudu gharama za malaya na kuwa na mpenzi umpendaye. Unaona wivu kwa wenzio kutoka familia tajiri wenye mademu wakali n.k

Mwisho wa siku unapata msongo wa mawazo na kufikiria kujiunga kwenye vyama vya giza. Daah! Watu wanadhalilika mno chuo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu usnikumbushe .. moja ya kupata 3.2 gpa ni kama ulivyochambua hapo
 
umesema kweli, kati ya vitu nashukuru ni nilisoma chuo nikiwa na pesa ya home so sikujua shida aise,nilikuwa na pesa ya kila kitu hadi ya pombe,bata ilikuwa sio lazima weekend yani siku yoyote hata j3
lakini lengo lilonipeleka huko nililitimiza vizuri
 
Hongera mno kaka, ulikuwa na mkopo? Ulisoma kozi ipi?
 
Tatizo mnapenda maisha ya juu

Mwanafunzi

Huna chanzo cha mapato halafu bado unawaza kugawana pesa hiyo na wanawake wanaouza!!!!

Hello! Fikiria umepata boom la laki tano, wewe ni kijana wa kiume. Kodi kwa miezi sita 180k, ada 200k. Unabakiwa na hela ya kawaida mno.

Hapo bado una tamaa za kimwili na utahitaji kutumia pesa kwa malaya, kwa kuwa demu mzuri mwenye figa huwezi mpata kwa hela ya mawazo.

Katika matumizi yote unajikuta huvai vizuri(bokm halitoshi), hela kiwahi kukata na wakati mwingine nyumbani napo utume, mama au baba mgonjwa etc.

Unaingia kwenye punyeto kwani unashindwa kumudu gharama za malaya na kuwa na mpenzi umpendaye. Unaona wivu kwa wenzio kutoka familia tajiri wenye mademu wakali n.k

Mwisho wa siku unapata msongo wa mawazo na kufikiria kujiunga kwenye vyama vya giza. Daah! Watu wanadhalilika mno chuo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hello! Fikiria umepata boom la laki tano, wewe ni kijana wa kiume. Kodi kwa miezi sita 180k, ada 200k. Unabakiwa na hela ya kawaida mno.

Hapo bado una tamaa za kimwili na utahitaji kutumia pesa kwa malaya, kwa kuwa demu mzuri mwenye figa huwezi mpata kwa hela ya mawazo.

Katika matumizi yote unajikuta huvai vizuri(bokm halitoshi), hela kiwahi kukata na wakati mwingine nyumbani napo utume, mama au baba mgonjwa etc.

Unaingia kwenye punyeto kwani unashindwa kumudu gharama za malaya na kuwa na mpenzi umpendaye. Unaona wivu kwa wenzio kutoka familia tajiri wenye mademu wakali n.k

Mwisho wa siku unapata msongo wa mawazo na kufikiria kujiunga kwenye vyama vya giza. Daah! Watu wanadhalilika mno chuo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona umekimbilia kwa wanawake huwezi kuishi bila hao!!! Ni tamaa tu za vijana!! Wewe umepelekwa chuo kusoma unaanza kukimbizana tena na uasherati!! Mambo ya hovyo kabisa
Wakolosai 3:5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; Wakolosai 3:6 kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu. Wakolosai 3:7 Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. Wakolosai 3:8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu.
 
umesema kweli, kati ya vitu nashukuru ni nilisoma chuo nikiwa na pesa ya home so sikujua shida aise,nilikuwa na pesa ya kila kitu hadi ya pombe,bata ilikuwa sio lazima weekend yani siku yoyote hata j3
lakini lengo lilonipeleka huko nililitimiza vizuri
Luka 21:34 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo;
 
Mkulungwa01 una matatizo sana hata humu JF unaishi kwa tabu. Achana na mademu wa chuo kama unaona wanakutatiza chukua wa uraiani wa level zako. Ukweli ni kuwa ukiwa na hela chuo unapewa attention na upendo wa kulazimisha bila kusahau heshima
 
Back
Top Bottom