Chuo ni sehemu ya msoto kwa watoto masikini

Mkulungwa01 una matatizo sana hata humu JF unaishi kwa tabu. Achana na mademu wa chuo kama unaona wanakutatiza chukua wa uraiani wa level zako. Ukweli ni kuwa ukiwa na hela chuo unapewa attention na upendo wa kulazimisha bila kusahau heshima
Au sio... Sio issue yangu japokuwa ukweli umeongea, nilishuhudia mno nilipokuwa chuo mpaka kulia wakati mwingine. Sikuwa na maisha ya dhiki chuoni, wazazi walijitahidi kuni-support pia nilikuwa na boom, kwa hiyo ilikuwa bam bam tu kwa upande wangu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom