Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichaga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi. Kinat

jamadari

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
295
92
. Kinatoa kozi zifuatazo:



1. Ulevi Mwezi mmoja;

2. Ujambazi miezi sita;

3. Kuchoma mtu kisu wiki moja;

4. Kuchoma nyama kwenye baa miezi miwili;

5. Kungarisha viatu wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo);

6. Kuuza duka miezi mitatu;

7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani miezi minne;

8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa miaka miwili;

9. Kufuga ng’ombe mwaka mmoja;

10. Kuendesha pick-up miezi minne;

11. Kugombea udiwani miaka miwili;

12. Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji wiki sita;

13. Kuchakachua mafuta mwaka mmoja;

14. Kupata kazi TRA miezi mitatu;

15. Kukwepa kodi wiki nane; na

16. Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure;

17. Kupika supu ya kiti moto wiki moja

Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam.
 
Eika mbe. asate sana babangu! iii inji bila kuangaika meku hupati kitu kabsa. hapo kiborloni huduma ya mbege ipo?
 
Back
Top Bottom