Kappwipwi
Member
- Feb 20, 2022
- 19
- 5
Somo hapo juu lahusika
Naomba kujua kama kuna chuo kilishawahi kubadilisha Kozi Iliyodahili awali na mwaka wa pili wa masomo kuibadili wanafunzi wakiwa wanaendelea
Hii imetokea Tengeru Institute of Community Development-Arusha (TICD)
2020/2021 Ilidahili wanafunzi wa Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management (BPPM), wakasoma na kumaliza mwaka wa kwanza.
Walipoanza mwaka wa pili mwishoni mwa semester ya kwanza wakashangaa wanatambulishwa (kwenye Maombi ya Apprenticeship) kama wanafunzi wa Bachelor Degree in Project Management for Community Development (BPMCD)
Hii ilizua taharuki sana, walipofatwa uongozi walitetea hiyo PMCD ni nzuri sana sokoni kuliko hyo PPM, wanafunzi hawakuwaelewa kwan hata hawakushirikishwa kwa chochote. Matokeo yake walipoona hawaelewek wakaanza kutumia ubabe na vitisho
Lakin pia wakaja na hitimisho zingne kwa asiyeridhia afanyiwe Transfer kwenda chuo kinachotoa koz sawa na hiyo
Chakujiuliza
1. Je, huu ni utaratibu wa kawaida katika vyuo kubadili kozi kwa wanafunzi wanaoendelea na kutakiwa kusoma hiyo mpya?
2. Je, hii yakufanyia Transfer wanafunzi inawezekana kweli? (Maana wanawatega kwa majina wanaotaka hzo Transfer, cjui ndio wawaDisco).
3. Msaada wa Ushaur Namna Bora Kusolve hili Maana Kuna Walioharibiwa Future Mpaka muda huu