Chuo kipi kinawanawake wazuri na warembo

lol! nikiwaza hicho chuo nahisi kama ni cha ma-typist secretaries wa zamani,wamama wanaovaa matenge tu! ngoja niache ushamba,niki-google
Mwalimu Nyerere Memorial, pale bana wanawake wengi wamekaa kizalendo sana...

Hawana mvuto kabisa sijui kwa nini
 
wasomi wengi ni wabaya yaani wanasura ya viatu siyo wote lakini..

hebu usinchekeshe wewe!
Ina mana warembo wameumbwa na ubongo teke? Pepesa macho yako.
Siku hizi urembo bila bongo haulipi bana..ITS BEAUTY WITH BRAINS kwenda mbele.
 
1. Ifm
2. Udom
3. Dit
4. Mzumbe
5.sua

vingine mtaniwia radhi, subirini 2015.
Waache dada zetu wasome hilo pepo lako la ufuska likome kwa jina la bwana, wawe warembo halafu iweje?
chuoni pale ni masomo na sio urembo. Kama warembo shindanisha kutoka JOLLY, BILLS, SUNCIRRO, ETC NA MADANGURO YOTE SIO WATOTO WETU TULIOWAPELEKA SHULE WAKASOME.
 
IFM pale pamechafuka sana kwa HIV

Wananjaa sana pale, UDSM pale napo wale wale,

SAUT, ndio usiseme ngoma za kufikia
 
Waache dada zetu wasome hilo pepo lako la ufuska likome kwa jina la bwana, wawe warembo halafu iweje?
chuoni pale ni masomo na sio urembo. Kama warembo shindanisha kutoka JOLLY, BILLS, SUNCIRRO, ETC NA MADANGURO YOTE SIO WATOTO WETU TULIOWAPELEKA SHULE WAKASOME.

Hutaki wanao waitwe warembo??,
 
Warembo wapo chuo kinachoitwa chuo cha posta,panda gar shuka posta mpya kaa hapo uone mambo,chuo hiki hakina matawi kpo Das lam
 
IFM salute!kama kung'oa watoto wakali sifa basi naushukuru uongozi wa IFM....watoto wakali wanazidiana kunukia tu!
 
Back
Top Bottom