Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

Kcmc wanafunzi wanabebwa kupitiliza tena wengi wao ni vilaza unakuta md5 mzima hawezi tafuta vein ili aweke Kuweka cannular,kazi kuvaa makoti na kupiga selfie za kipumbavu na hasa wanapoteza kwenye mambo ya kipumbavu
 
Elimu za Kibongo ni za kukomoana.

Ndio maana tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele.

tofali kasema ukweli.
km una div 1 ya "halali" nenda Muhas.
km umefaulu kwa kuungaunga, KCMC ndio second best.
Muhas kuchemka ni nje nje na mitihani ni ya kukomoana. bt km upo vizuri na una "moyo mgumu" unasonga, ila kuna wakati unatafuta C tu "yaishe", zile A na B za secondary itabidi uzisahau tu. na supp ndo zinakuweka sawa.
Vyuo vingine ni rather easy street. una uhakika wa kugraduate. bt muhas, unagraduate kila semester mpk shule inaisha.
hakuna chabo wala paper ku-leak.
been there, done that.
NB
Medical school haina kuremba. haijali umetoka wapi na ulifaulu vipi. Ukifika, unaanza upya, na kuchemka kupo.
so ur mental strength and a never-say-die attitude ni muhimu
 
MUHAS ni chuo bora na kinatoa vichwa vya maana..failure hawaendi..na ni chuo kikongwe cha afya tangu enzi za mwalimu..hivyo vingine vyote vimekuja miaka ya karibuni...sasa je una div 1?,,, km huna nenda IMTU, KAIRUKI, BUGANDO, KCMC...na vinginevyo..na km uliiba pepa ukifika pale jihesabie disco...no vilaza
Kweli kabisa Nina dogo yupo muhas final year anasema shule ngumu balaa wazee(maprofesa) wanabana kichizi.
 
MUHAS ni chuo kizuri na kikongwe na gharama zake ni nafuu, KCMC pia ni kizuri sana ila gharama zake ni kubwa kulinganisha na MUHAS. watu wengi Waliosoma MUHAS na UDSM wanadharau vyuo vingine na kudhani elimu yao tu ndio ngumu ingawa hawana experience yoyote na vyuo hivyo vingine. Muhas na udsm ni sawa na special schools elimu yake ni sawa tu na sehemu zingine ila wanachukua vipanga (sio wote ). Jiamini wewe kama wewe daktari mzuri anatokana na juhudi zake za kusoma na sio chuo alichosoma. Waliosoma zamani wanakwambia muhas ndio chuo vingine sio ingawa hawana points za msingi kutetea hoja. Kuna watu hawakupata wani wapo muhas na wengine wana wani ila wapo vyuo vingine.
 
Ukitaka stress na kumaliza na makarai Nenda muhas.
Ni chuo chenye walimu wakoloni, ambao hawabadiliki mambo yao tofauti na mabadikiko ya mazingira.
Kina walimu very conservative wanaodhani kufelisha wanafunzi Ndio sifa ya kuwa yeye ni mwalimu mzuri.
Kuna walimu ambao hawafundishi na kuelekeza wanafunzi lakini siku ya mtihani anataka uelezee anachokitaka yeye ambacho hajawahi kukufundisha.

In short it is the worst space to spend your life.
 
MUHAS ni chuo bora na kinatoa vichwa vya maana..failure hawaendi..na ni chuo kikongwe cha afya tangu enzi za mwalimu..hivyo vingine vyote vimekuja miaka ya karibuni...sasa je una div 1?,,, km huna nenda IMTU, KAIRUKI, BUGANDO, KCMC...na vinginevyo..na km uliiba pepa ukifika pale jihesabie disco...no vilaza
Kama MUHAS ni vichwa mbona niko nao huku internship hawana shule? Hawawezi fanya hata tasks rahisi yaani hata repair ya tear ndogo hawajui na hata shule walosoma washasahau coz shule ya medicine ni continuing.
 
tofali kasema ukweli.
km una div 1 ya "halali" nenda Muhas.
km umefaulu kwa kuungaunga, KCMC ndio second best.
Muhas kuchemka ni nje nje na mitihani ni ya kukomoana. bt km upo vizuri na una "moyo mgumu" unasonga, ila kuna wakati unatafuta C tu "yaishe", zile A na B za secondary itabidi uzisahau tu. na supp ndo zinakuweka sawa.
Vyuo vingine ni rather easy street. una uhakika wa kugraduate. bt muhas, unagraduate kila semester mpk shule inaisha.
hakuna chabo wala paper ku-leak.
been there, done that.
NB
Medical school haina kuremba. haijali umetoka wapi na ulifaulu vipi. Ukifika, unaanza upya, na kuchemka kupo.
so ur mental strength and a never-say-die attitude ni muhimu
watu hamna bidii ya kusoma, wavivu kazi kuwatisha wengine
 
Nenda chuo chochote cha udaktari kinachokubalika kitaifa. Muhimu jielewe, weka interest, be objective, read widely and learn skills...Period. na hizo principles haihitaji aina ya shule
 
yote kwa yote muhas bado ni chuo kizuri hasa kwa mwanafunzi anayejituma kwa sana,sema waliokuja kuiyumbisha muhas ni kuongeza intake adi wanafunzi zaidi ya 200 wakati hakuna miundombinu ya kutosha kukabiliana na ongezeko hilo imepelekea wanafunzi kusoma kwenye manzigira magumu,the same problem imeikuta cuhas kuongeza adi 150,bila maandalizi ya kutosha ila kwa sasa wamestableze kwa kiasi fulani.

structure ya wards na hospital;mpangilio wa majengo ya hospital na ward pia ni muhimu kwa wanafunzi,majengo ya wards za kcmc na bugando ni bora zaidi,kuliko ya muhimbili yametawanyika sana.
orgaanization ya jengo kuu la hospital ya bugando(teaching hospital)limekaa kwa mpangilio mzuri sana,ward zina space ya kutosha,department zimegawanyika kwa utaratibu mzuri very similar to kcmc.
for my own view mkandarasi aliyejenga majengo ya bugando hospit was the best,lakini ndugu kumbuka elimu siyo majengo.
library sio shinda kabisa,zote ni nzuri kabisa kwa kcmc,muhas na cuhas,ingawa library ya cuhas ni ndogo lakini ina kila kitu ndani(naona cuhas wameanza kujenga complex library yenye thamani ya 4bilion,rais mkapa ni mmoja waliochangia source itv last month)

kwa upande wingi wasenoir lecture na maprofes; hapo muhas wanatisha wamejaa kama nini,kuna watu wanajiita masuper specialist muhas wamejaa kama nini,bugando nina uwakika awazidi 5,kcmc pia hawawezi zidi 10
nb cha muhimu ni commitment ya hawa watu wengine hawajitumi kabisa kutoa material.

student admissio;muhas kinabaki kuwa chuo pekee cha medicine tz kinachochukua wanafunzi wengi wenye div1 na kiasi fulani div2,na kwa miaka ya nyuma 90s ata div1 point9 kupata admission kaikuwa rahis.
cuhas utapata wachache wa div1,wengi wana div2,na wachache wana3;13,almost similar to kcmc.

hakika ukichukua wanafunzi 100 wa muhas wakasomee bugando watakuwa the best doctors ever,my point is medical student wa bugando wanashindwa kutumia advantage zilizopo kuwa the best,ni wachache walioziona hizo advantage na kuzitumia.muhas wengi wanakuwa the best kwa kujituma sana tena kwenye mazingira ambayo kwangu nayaona ni magumu sana.

ubora wa clinical deparment;almost idara zote za clinical muhas wapo vizuri,kcmc orthopedic,ENT,urlogy wapo vizuri sana, bugando=obstetric and gynecolo na inter medicine wanatisha.

ubora wa biomedica science;vyuo vyote vipo vizuri kwa biomedicalscience(masomo ya mwak1&2),ila cuhas washukuru sana muhas kuwasaidia lecturers na proffesor wakati wanaanza adi ivi sasa cuhas wamesimama imara na walimu chungu nzima(kumbuka bugando universty wakati wanaanza walikopy na kupaste kila kitu toka muhas)

all of all kufanikiwa ni juhudi binafsi,
nitarudi baade kukupa fact zaidi including intern
Acha kudhalilisha Bugando.
Departments nyingi bugando zina professors, associate professors, senior lectures, lecturers, assistant lectures and TAs.
Kwa mfano: department ya physiology ina maprofesa wawili akiwemo na yule Mwenyekiti wa TCU, ina senior lecture mmoja, assistant lecture na TAs: Department ya microbiology ina professor mmoja, senior lectures wawili, na lectures: Department ya Biochemistry ina senior lectures wawili, lectures na TAs: Department ya Surgery maprofesa wengi huko: Kuna prof Mahalu yule Mwenyekiti wa taasisi ya moyo ya JK ya muhimbili, prof Gilyoma ENT na wengine wengi siwezi maliza.Obstetric na Gynecology maspecialist wengi. Kwa kifupi ni kuwa, chuo hakiwezi toa masters kama hakina experts, Bugando ina experts wengi ndo maana hata teuzi zake kwa TCU na taasisi ya moyo ya JK kateua toka Bugando. Mwisho kabisa nashauri kama hujui ni bora ukakaa kimya! Nimeeleza kwa kifupi.
 
deparment zina proffesor ila wachache, paediatric hakuna proffesa,obgy=1,surgery=3,,,inter med=2,,biochemistry=O,, anatomy=O,,.sema kwa mwelekeo uliopo kwa miaka michache wataongezeka.
Mtabaji naye ni wa siku nyingi apumzike umri umeenda .
(QUOTE="Mechanist, post: 20315608, member: 271729"]Acha kudhalilisha Bugando.
Departments nyingi bugando zina professors, associate professors, senior lectures, lecturers, assistant lectures and TAs.
Kwa mfano: department ya physiology ina maprofesa wawili akiwemo na yule Mwenyekiti wa TCU, ina senior lecture mmoja, assistant lecture na TAs: Department ya microbiology ina professor mmoja, senior lectures wawili, na lectures: Department ya Biochemistry ina senior lectures wawili, lectures na TAs: Department ya Surgery maprofesa wengi huko: Kuna prof Mahalu yule Mwenyekiti wa taasisi ya moyo ya JK ya muhimbili, prof Gilyoma ENT na wengine wengi siwezi maliza.Obstetric na Gynecology maspecialist wengi. Kwa kifupi ni kuwa, chuo hakiwezi toa masters kama hakina experts, Bugando ina experts wengi ndo maana hata teuzi zake kwa TCU na taasisi ya moyo ya JK kateua toka Bugando. Mwisho kabisa nashauri kama hujui ni bora ukakaa kimya! Nimeeleza kwa kifupi.[/QUOTE]
 
UKITAKA kuwa BINGWA wa kukalili nenda MUHAS wanakalili kama formu one yaani hao kazi yao kusomaaa tu ata practical ni ndogo ila ukikutana nao wanatema madini hayo hatari ila kama unataka kuwa fiti kuhudumia basi KCMC pale ndio wapo vizuri mwanafunzi wa pale washazoea wagonjwa haTatriii yaani wakikuona tu wanajua tatizo lako utazani waganga wa kienyeji ila mi nakushauri nenda muhas maana cheti cha pale kinapendwa asha
 
UKITAKA kuwa BINGWA wa kukalili nenda MUHAS wanakalili kama formu one yaani hao kazi yao kusomaaa tu ata practical ni ndogo ila ukikutana nao wanatema madini hayo hatari ila kama unataka kuwa fiti kuhudumia basi KCMC pale ndio wapo vizuri mwanafunzi wa pale washazoea wagonjwa haTatriii yaani wakikuona tu wanajua tatizo lako utazani waganga wa kienyeji ila mi nakushauri nenda muhas maana cheti cha pale kinapendwa asha
Kcmc baba lao
 
Ubishi umeisha sasa!!
MUHAS ndio SI Unit ya Ubora wa taaluma ya udaktari Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom