Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

Muhimbili is the best, ila msuli wa pale sio wa sport sport. Pia passmark yako iwe kubwa, maana kupata nafasi pale siyo rahisi pia .
 
St.francs ...Kwa medicine HAWA JAMAA NIVICHWA ..MUHIMBILI NA KCMC HAWASOMI PALE ................ Hata repot bora ya mwaka Jana imeonyesha st francs ndio wanaongoza Kwa medicine
 
hebu acha kulinganisha MUHAS na fake College kama KCMC
 
sidhani kama mtoto wangu nitampeleka muhas kwasababu naogopa atakuwa stressed kwa kuumizwa moyo na kupata gpa mbovu mwisho wa siku anaenda kupresent cheti mbele ya watu pamoja na waliotoka bugando na kcmc. nimesoma udsm lakini ningejua nisingesoma kabisa pale kwasababu ni sehemu iliyonistress sana na kuniharibia baadhi ya maisha hadi nilianza kufight upyaaa na Mungu amenisaidia. vyuo vya serikali ni takataka isiyotakiwa duniani. navichukia kabisa. vyuo vya serikali kuna maproff miungu watu utafikiri wao tu ndio wasomi duniani, ajabu ukienda KCMC au vyuo vingine ambako maprof wazungu wanakuja kufundisha wakati mwingine, utakuta hawako hivyo, hawa wa kwetu ni wasomi limbukeni na wana wivu hawataki watu wengine wasome ndio maana huwa hawafundishi bali wanakomoa tu. wanaamini wakimuwekea mtu ngumu kufaulu ndio atakuwa na akili badala ya kumfundisha ili awe na akili. wanaficha material badala ya kuexpose...

nilipoenda kusoma nje, niliona utofauti mkubwa wa elimu na mahusiano kati ya wanafunzi na walimu, nikasema ndio maana wazungu wana akili kutokana na mazingira wanayosomea. huwezi amini.
 
sidhani kama mtoto wangu nitampeleka muhas kwasababu naogopa atakuwa stressed kwa kuumizwa moyo na kupata gpa mbovu mwisho wa siku anaenda kupresent cheti mbele ya watu pamoja na waliotoka bugando na kcmc. nimesoma udsm lakini ningejua nisingesoma kabisa pale kwasababu ni sehemu iliyonistress sana na kuniharibia baadhi ya maisha hadi nilianza kufight upyaaa na Mungu amenisaidia. vyuo vya serikali ni takataka isiyotakiwa duniani. navichukia kabisa.

KCMC imefungiwa na TCU kudahili mwaka huu huna habari mkuu
 
kamwe usikubali kuchagua chuo kwa maoni ya humu tu,kwani majibu mengi ni ya kiushabiki na si ya kihalisia,kumbuka tcu kwa sasa inaweza kukutupa popote pale regardless ya score yako.
kumbuka style ya kufundisha kwa waalimu wa tz inafanana,tabia za jumla wanafunzi wa tz zinafanana,ubabishaji kama vile unafanana.
cha muhimu ni kujitambua kwa mwanafunzi binafsi.
lakini kumbuka muhas ni chuo kikongwe chenye chenye uzoefu wa miaka zaidi ya 40,lakini sitaki ni kukonviece uende kwa sababu iyo. maitaji ya msingi/kitaaluma kwa degree ya kwanza(md) kwa vyuo vyote almost yanafanana kwa vyuo vyote hivyo,tofauti ni kwamba muhas ina the best student wengi compare to other

ukishamaliza md5,unaanza intern mtapangiwa kufanya intern wanafunzi mchanganyiko toka vyuo mbali mbali,apo ndipo utagundua wote kama mpo sawa(utajua hiki,mwenzako hajui hiki na najua kitu fulani)kila chuo utakuta ina vimeo na ina wazuri pia.

kuwa na ndoto ya kuspecilize usomee kitu gani,lakini nakushauri subiri kidogo angalau ufike intern,safari ya md ni ndefu yenye milima na mabonde na pia interest huweza kubadilka kulingana na mazingira.

conclusion;ukiniambia basi sasa nilazima nikuchagulie chuo cha kwenda i will favor muhas.

nakuatakia masomo mema,uje uwaudumie watz ambao hufa kwa magonjwa tena madogo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi uliza hapa hapa, kwa faida ya wengine pia
Basi haina shida, sikuwa na nia mbaya
Maana nimefurahi kusikia umesoma MUHAS ndio nikaamua kukuomba tuongee mawili matatu pm.

Watoto wa siku hizi bwana, umepata division gani ?
Unachosema ni kweli lakini mimi nimevuka hicho unachokidhani.

Nikukumbushe wakati matokeo yametangazwa, niliwahi kukuliza mbona unafuatilia sana matokeo? Ulinijibu unataka kumuangalizia mtoto ambaye huwa anafikia kwako ambaye ulisema alisoma PCM.
Pia tukazungumzia suala la kupasua chura kwa PCB, wewe ukaniambia hadi panya uliwahi kupasua.

Hayo mambo nayajua kwa sababu na mimi nimepitia tangu miaka kadhaa nyuma.
 
Usiilizie chuo kikuu kizuri kabla ya kupata ufaulu unaohitajika ili kusoma hiyo kozi, kazana kwanza ukibahatika kufaulu ndo uulizie vyuo vikuu.Mkuu, Maisha hayana formular Na mipango si matumizi , Aaaaaachaaah !
 
sidhani kama mtoto wangu nitampeleka muhas kwasababu naogopa atakuwa stressed kwa kuumizwa moyo na kupata gpa mbovu mwisho wa siku anaenda kupresent cheti mbele ya watu pamoja na waliotoka bugando na kcmc. nimesoma udsm lakini ningejua nisingesoma kabisa pale kwasababu ni sehemu iliyonistress sana na kuniharibia baadhi ya maisha hadi nilianza kufight upyaaa na Mungu amenisaidia. vyuo vya serikali ni takataka isiyotakiwa duniani. navichukia kabisa. vyuo vya serikali kuna maproff miungu watu utafikiri wao tu ndio wasomi duniani, ajabu ukienda KCMC au vyuo vingine ambako maprof wazungu wanakuja kufundisha wakati mwingine, utakuta hawako hivyo, hawa wa kwetu ni wasomi limbukeni na wana wivu hawataki watu wengine wasome ndio maana huwa hawafundishi bali wanakomoa tu. wanaamini wakimuwekea mtu ngumu kufaulu ndio atakuwa na akili badala ya kumfundisha ili awe na akili. wanaficha material badala ya kuexpose...

nilipoenda kusoma nje, niliona utofauti mkubwa wa elimu na mahusiano kati ya wanafunzi na walimu, nikasema ndio maana wazungu wana akili kutokana na mazingira wanayosomea. huwezi amini.
Kweli aisee, hata Mimi nililiona hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KCMC imefungiwa na TCU kudahili mwaka huu huna habari mkuu
ok, bugando? nayo imefungiwa, au hata IFAKARA institute tu. kitu mnachotakiwa kuelewa ninyi watu ni kwamba, kusoma vyuo kama UDSM na MUHAS etc, vinakurudisha nyuma sana kimaendeleo. mimi nilipotaka kusoma nje, nilikuwa napambana GDP na wenzangu waliosoma Tumaini, etc ambako utakuta first class ni wengi sana, wakati udsm kwenye law kwa mfano, waliopata first class tangu enzi ni prof.majamba na kabudi tu nafikiri, wengine wote ni second. ajabu yake ni kwamba hao wenye first class sio kwamba ndio wenye akili kuliko hawa wengine na sio kwamba ndio wamefanikiwa kimaisha kuliko hawa wengine.

ukitaka kuapply vyuo kama oxford, cambridge, havard, stanford state, Massachusetts (udaktari) etc, wanataka mtu mwenye first class, sema sasa wangapi hapo toka udsm au MUHAS watapata scholarship kwa hivyo vyuo? ukiapply pamoja na mtu wa vyuo vingine wanaopewa GDP hadi 4.5 karibia nusu ya darasa, wewe unashika mkia, hupati scholarship na kama hauna hela ya kujilipia basi elimu yako ndio inaishia hapo. udsm/muhas ni vyuo vya kukomoana, walimu wanatunga mitihani sio mwanafunzi afaulu, ni ili afeli, wanatamani ufeli kabisa usiwafikie wao, ndio maana sap ni nyingi mno mwishowe wanafunzi wanaishia kukariri tu mitihani ya zamani ili kufaulu na sio kuelewa masomo. ndio maana watu wengi waliosoma vyuo hivyo ukiona wana akili ujue ni zile za kuzaliwa nazo na sio zile za kufundishwa darasani na walimu. unasoma kwa stress alafu mwalimu anakufelisha na huna wazazi wenye uwezo, unaishia hapohapo. sikufeli sana, nashukuru Mungu nilipata second class lakini hadi leo huwa sitaki hata kupita njia ya mlimani/udsm kwasababu nimeichukia kabisa ilinipa stress za ajabu. nchi za wenzetu hawasomi hivyo, ni tofauti kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom