Chuo kipi bora kati ya MUHAS na KCMC

MD East Africa na Africa MUHAS iko mbali sana nabina facilities zakufundishia zakutosha ,experience hata point zake wanazochukua ni div one point 3-9 baasi mwisho(you know what i mean)

Challenges kushikwa kuko nje nje hasa 2nd year , however tangu mgomo ule wa madaktari 2010 wameanza kulegezalegeza kidogo
 
Vyuo ni Vyuo tu hata kama usome wapi sisi miaka ya 2005 nilikuwa nachukua masters pale muhas tangia nimalize sijawah kufikiria kuhusu mambo ya Vyuo, wew chakufanya soma alfu umalize uje kazini maisha yaendelee
 
Chuo chuo kinachomata kipi cha muhimu after kugraduate i mean
Ukiweza nijibu maswali haya u may gain something
1.je kusoma MD ktk vyuo tofaut inafluence range tofaut ya mshahara ?
2.je vyuon kila chuo kwa MD wana special course ambao others hawan?
Whatever it's muhimu nikupt knowledge issues za chuo kip bor zilishapitwa na wakati
 
We maliza chuo alafu ujipime kama wewe ni daktari mzuri compare to hao unaoona chuo chao kiko low.alafu ndo utajua chuo chako ni the best au la
 
Tz hakuna Madaktari.

Uelewa wao walifaa waitwe Assistant Medical Doctor.

Sema tu Takwimu za Mauaji kwa Makosa ya Madaktari hazitolewi nje.
Na Watz hatuna uelewa tungeisha waburuza courtini karibu wote.
 
Tz hakuna Madaktari.

Uelewa wao walifaa waitwe Assistant Medical Doctor.

Sema tu Takwimu za Mauaji kwa Makosa ya Madaktari hazitolewi nje.
Na Watz hatuna uelewa tungeisha waburuza courtini karibu wote.
unatania....
 
unatania....
Mkuu kuna hii kitu inaitwa Goitre, Opareshi utumbo, kujifungua,nk yaani vitu vidogo tu lakini mauji yake yaliyofanywa na ma doctor huwezi amini.

Pia hii ni sababu moja wapo ya Chama cha Madaktari Kenya kuwakataa.

Level ya Assistant MD sawa. Ila sijuu Daktari Bingwa ni uongo mtupu!!
 
wewe jamaa umesoma MD?
 
KCMC sio wazuri binafsi nimefanya nao kazi naona MUHAS wako vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom