mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Nammpango wa kupiga medicine mwakani na ninependa kujua nikipi chuo bora zaidi kati ya MUHAS na KCMC
Walimu wa kutosha na ubora ni Muhas, ila Kcmc wanafunzi wake huwa wako exposed vizuri na wagonjwa, ingawa wana uhaba wa walimu. Mara nyingi vijana toka KCMC na hata CUHAS huwa wachapakazi sana, wakati wengi waliotoka Muhimbili huwa wamevimba vichwa.
Walimu wa kutosha na ubora ni Muhas, ila Kcmc wanafunzi wake huwa wako exposed vizuri na wagonjwa, ingawa wana uhaba wa walimu. Mara nyingi vijana toka KCMC na hata CUHAS huwa wachapakazi sana, wakati wengi waliotoka Muhimbili huwa wamevimba vichwa.
mkuu mimi ni mwanafunzi wa kcmc hakuna uhaba wa waalimu...kuhusu exposure kwa wagonjwa ni kweli kabisa
sijui mnmaanisha nini maana ya exposure kwa wagojwa?ninavyoelewa exposure ni juhudi binafsi kwa mwanafunzi kwenda mawodini kupata experience kwa wagonjwa kwa kufundishwa clinical history na physical exam.
jambo lingine exposure inakuwepo kwenye hospital yenye bed capacity kubwa(idadi kubwa ya vitanda),idadi kubwa ya vitanda inaendana na uwezekano mkubwa wa kupata wagonjwa mbalimbali kujifunzia.
1 bed capacity ya muhimbili= 1150
2 bed capacity bugando=950
3 bed capacity kcmc=450
pia inategemeana na exposure inategemeana na uwepo wa walimu wa kutosha, kwa vyuo vyote hivyo wapo walimu wa kutosha,ingawa muhas zaidi lakini wengi wao wamekataa tamaa ya kufundisha tokana na maslahai duni wanaolipwa,but mfano ninavyosikia ila sina hakika cuhas ni moja ya vyuo vinalipa watumishi wake vizuri sana so kwa sasa wapo motivated kufindisha( source my classmate wangu A LEVELni mwajiriwa apo cuhas)
nitarudi baade kuendela kukupa fact