botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Poa sana mkuu moes kwani mi ni miongoni mwa wale wanaosubiria post na nilijaza vyuo hivyo
Poa sana mkuu moes kwani mi ni miongoni mwa wale wanaosubiria post na nilijaza vyuo hivyo
.ok,i hope utachaguliwa medicine,cha muhimu ni kujielewa kuwa na discipline ya shule,chance ya kuwa daktari mzuri au mmbovu bila kujali utaenda chuo gani inalingana.
safari ya medicine ni ndefu pambana na stress zote mwisho wa siku utafafikia malengo yako, tuombe sana mungu atujalie ,miaka sita ijayo utakuwa daktari utupe mlejesho apa jf experience yako medical school na utakuja kubaini ukweli kwa hoja zangu ambazo zimezitoa apo awali.
kumbuka udaktari sio majigambo au kutafuta sifa za kijinga,au kutafuta utajiri,be simple as u can but be focused.
kaka @ moes nimependa the way unavyochambua nimeomba cuhas ya kwanza nna c kwenye chem na bios nkichaguliwa ntakutafuta!
Walimu wa kutosha na ubora ni Muhas, ila Kcmc wanafunzi wake huwa wako exposed vizuri na wagonjwa, ingawa wana uhaba wa walimu. Mara nyingi vijana toka KCMC na hata CUHAS huwa wachapakazi sana, wakati wengi waliotoka Muhimbili huwa wamevimba vichwa.
.
ndugu kumbuka tena madaktari wengi wanatafunwa na dhambi za ubaguzi,epuka kabisa hili
utakuta daktari wa upasuaji(surgon) anamdharau asiyewa upasuaji(physician)
bingwa wa kupasua moyo yeye ndio anaona ni bora zaid ya wengine
clinical doctor anamdharau biomedicals science doctor.
physician naye anamdharau paediatrician.
all and all medicine ipo very wide ukimaliza siyo lazima utibu
1 unaweza kuwa mwalimu wa masoma hasa ya mwaka 1&2(biomedical science)
2 unaweza ukawa mtaalamu wa afya ya jamii
3 unaweza kuwa researcher
4 unaweza kuwa mwalimu vyuo vya clinical officer
5 unaweza kuwa radiologist etc
lakini waote wanategemeana kwenye majukumu yao
yap nasubiri MD@botafongo jr
Kaka na mimi na plan kupiga med so tupmbe Mungu tupate chuo kizuri tukakomae
Kwanini radiologist umemuweka kwenye hilo kundi?
yah kuomba Mungu muhimu pia bidii ya ziada inahitajika sana mkuu...hope malengo yatatimia tu
KCMC ni kizuri ila gharama zao nadhani ndo zinatisha
Tatizo likowapi....?
ni kweli gharama ni kubwa ila service pia ni nzuri...ufundishaji mzuri,mazingira yakusomea yapo mazuri napia kila mwanafunzi wa medicine anapewa tablet na external hard disc kwaajili yakusomea na kuhifadhi materials....