duh hapa sasa. Kwa hiyo mi naona bado sijapata jibu nikasome chuo kipi wakuu?
Mwenye kuweza kuweka summary anisaidie kwani kote na-qualify kwa maana ya kwamba nina 1 nzuri.
Nisaidieni wanaJf nataka kuwa doctor mzuri japo sijui nataka udoctor wa eneo lipi
kamwe usikubali kuchagua chuo kwa maoni ya humu tu,kwani majibu mengi ni ya kiushabiki na si ya kihalisia,kumbuka tcu kwa sasa inaweza kukutupa popote pale regardless ya score yako.
kumbuka style ya kufundisha kwa waalimu wa tz inafanana,tabia za jumla wanafunzi wa tz zinafanana,ubabishaji kama vile unafanana.
cha muhimu ni kujitambua kwa mwanafunzi binafsi.
lakini kumbuka muhas ni chuo kikongwe chenye chenye uzoefu wa miaka zaidi ya 40,lakini sitaki ni kukonviece uende kwa sababu iyo. maitaji ya msingi/kitaaluma kwa degree ya kwanza(md) kwa vyuo vyote almost yanafanana kwa vyuo vyote hivyo,tofauti ni kwamba muhas ina the best student wengi compare to other
ukishamaliza md5,unaanza intern mtapangiwa kufanya intern wanafunzi mchanganyiko toka vyuo mbali mbali,apo ndipo utagundua wote kama mpo sawa(utajua hiki,mwenzako hajui hiki na najua kitu fulani)kila chuo utakuta ina vimeo na ina wazuri pia.
kuwa na ndoto ya kuspecilize usomee kitu gani,lakini nakushauri subiri kidogo angalau ufike intern,safari ya md ni ndefu yenye milima na mabonde na pia interest huweza kubadilka kulingana na mazingira.
conclusion;ukiniambia basi sasa
nilazima nikuchagulie chuo cha kwenda i will favor muhas.
nakuatakia masomo mema,uje uwaudumie watz ambao hufa kwa magonjwa tena madogo kabisa.