M Mzee2000 JF-Expert Member Aug 7, 2009 527 221 Jan 23, 2010 #1 Najua bongo tuna njaa,lakini hata kutengeza website ya chuo chetu muhimu kuliko vyote inatushinda? Nimeenda pale,links nyingi hazifanyi kazi unapata error on page .. page not available n.k , je chancellor analijua hili?
Najua bongo tuna njaa,lakini hata kutengeza website ya chuo chetu muhimu kuliko vyote inatushinda? Nimeenda pale,links nyingi hazifanyi kazi unapata error on page .. page not available n.k , je chancellor analijua hili?
T Tanzania Yetu Member Feb 15, 2009 13 2 Jan 23, 2010 #2 Sasa tufanye, wajitolee vijan wakali wakatatue tatizo. na mimi nilijaribu wiki iliyopita! sikupata kitu
Sasa tufanye, wajitolee vijan wakali wakatatue tatizo. na mimi nilijaribu wiki iliyopita! sikupata kitu