Chuo kikuu UDSM links hazifanyi kazi

Chuo kikuu UDSM links hazifanyi kazi

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Najua bongo tuna njaa,lakini hata kutengeza website ya chuo chetu muhimu kuliko vyote inatushinda?

Nimeenda pale,links nyingi hazifanyi kazi unapata error on page .. page not available n.k , je chancellor analijua hili?
 
Sasa tufanye, wajitolee vijan wakali wakatatue tatizo. na mimi nilijaribu wiki iliyopita! sikupata kitu
 
Back
Top Bottom