Naomba kujuzwa wadau,hawa MU main campus Morogoro wana huduma ya wireless internet kwenye maktaba yao? Mliopo MU au mliopita hapo mnaweza kunisaidia hili swali,merry x-mass to all
Naomba kujuzwa wadau,hawa MU main campus Morogoro wana huduma ya wireless internet kwenye maktaba yao? Mliopo MU au mliopita hapo mnaweza kunisaidia hili swali,merry x-mass to all
Majibu ya wenye busara utayajua tu..Huduma hiyo ipo.
Hv mtu unapata wapi nafasi ya ku-post ujinga kama huu hapa JF? Hv wewe ni kati ya wasomi wanaotegemewa kuja kukomboa taifa hili? Kwa mfano umeshindwa nini kwenda kuuliza hapo maktaba,au kumuuliza mwanafunzi anayesoma chuo kile badala ya kuanza kupost hapa JF...
Maswali la great thinker ni yapi?
Thanks Kombo,wache wengne wapige mayowe!