Chuo kikuu Mzumbe, vipi internet connection?

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Naomba kujuzwa wadau,hawa MU main campus Morogoro wana huduma ya wireless internet kwenye maktaba yao? Mliopo MU au mliopita hapo mnaweza kunisaidia hili swali,merry x-mass to all
 
Hv mtu unapata wapi nafasi ya ku-post ujinga kama huu hapa JF? Hv wewe ni kati ya wasomi wanaotegemewa kuja kukomboa taifa hili? Kwa mfano umeshindwa nini kwenda kuuliza hapo maktaba,au kumuuliza mwanafunzi anayesoma chuo kile badala ya kuanza kupost hapa JF...
 
Huduma hiyo ipo.
 
wewe unajaza tu nafasi hapa. Kama ujui si ukae kimya.
 
Inawezekana alikuwa anabishana na wenzake sasa alikuwa anataka alibi,au anataka kwenda huko MU kutumia hy Wireless
 
Exactly,there u are,ndo mana nikauliza
 
wewe unajaza tu nafasi hapa. Kama ujui si ukae kimya.

Anataka tu aonekane amechangia,si kila kinachoandikwa JF ni lazima uchangie,kama hujui unausugua (unakula buyu a.k.a unauchuna)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom