MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
Chuo kikuu huria (open university) kimeendelea kuwasajili wanafunzi waliomaliza foundation course ambayo ni kinyume utaratibu serikali imepiga marufuku wanafunzi wa foundation course kusoma degree lakini nashangaa kuona chuo hiki kikisajili wanafunzi na kuwaibia pesa hivi Waziri wa elimu kwanini usiwajibishe hawa viongozi wa open university kuwaibia wanafunzi hawa mwaka huu utaratibu wa kujiunga na degree ulitolewa na TCU ambao ni form six na diploma lakini foundation course imeshafutwa nashangaa kuona chuo hiki pekee kikipoa wanachuo waliosoma foundation course.