Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

Nimesema several times kuwa hivi vyuo vya kata ... ndiyo zake hizo... vyuo sub standard! Majengo kama chekechea. hao walimu walisoma wapi au ni wale wa Eckenforde ambapo first class zilikuwa zinakuwa kama 20 kila graduation ... hao ndio walimu takataka
Acheni upuuzi wenu, hakuna likizo ila vyuo vimefungwa kuepusha msongamano. Hivyo wanafunzi na walimu wanatakiwa kufanyia kazi nyumbani. Hivi baadala ya kusifu juhudi za kuendeleza watoto wetu sie tunakatisha tamaa! what a shame
 
Hivi Laptop ni kwa ajili ya movie na game tu enhee? Au hizi smartphone ni kwa ajili ya whatsap instagram na kubet?

Umelalamika kitoto sana wewe mwanachuo Mwalimu wako kakusaidia kukufanya uwe busy kipind hich cha wewe kukaa nyumban wewe unaona ndio muda wa kula bata na kulala, hii sio likzo rasmi ya semister Bro, Nenda kafanye assignment acha ufoo.
 
Wewe ni mpubavu! Period.
Eti "nitawaletea ushahidi wa message za group".

Sababu ambayo kidogo ningemuelewa angesema kwamba materials yao ni kazi kuyapata mtandaoni alafu hawezi kwenda library sababu hazipo safe

[emoji23]hivi kweli kijana wa chuo aache laptop chuoni au geto movies na games amuachie nani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya kazi wewe, apo ni chuo sio advance kwan utapungukiwa nn ukijikunja sku mbil tu kuandika kazi. Kwanza apo chuo hautaishi milele ni miaka mitatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya HOLIDAY HOMEWORK Primary hayo.

Tulikuwa hatuipendi kishenzi.

Komaeni mazee.
 
Acheni upuuzi wenu, hakuna likizo ila vyuo vimefungwa kuepusha msongamano. Hivyo wanafunzi na walimu wanatakiwa kufanyia kazi nyumbani. Hivi baadala ya kusifu juhudi za kuendeleza watoto wetu sie tunakatisha tamaa! what a shame
Mind, these are academic institutions and not Mdundiko affair institutions. If there are some shortfalls lazima tuziseme bila aibu wala woga.
 
Soma acha upoyoyo,eti laptop Umeacha chuo,unamdanganya Nani au Unafikiri hatujapita chuo au hatujui silka za wanafunzi?
Ajabu kabisa mwanafunzi analalamika kwa kupewa kazi ya Kusoma
Eti mwanachuo afungie laptop kwenye nyumba ya kupanga pale Kihesa kwasababu tu kuna likizo ya Corona.
 
Lecturers wa sheria ndivyo walivyo, wanaona kama hiyo elimu yao ni ya maajabu.

Siyo sahihi kupeana kazi wakati wa likizo.
 
kuku mweus,

Sasa hapa kitu gani kigumu, yaani changamoto kidogo kama hii unalalamika?

Sasa kama msomi wa chuo kama nyie mnalialia changamoto ndogo kama hii ikitokea, mtaweza kutatua changamoto zilizopo mtaani? Yaani wasomi wengine bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom