usy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 209
- 164
Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?
Tangu application second round imefunguliwa tarehe 21/08 mmekua hamueleweki,
mwanza server yenu ilikua chini, watu wakavumila, sasa hivi zaid ya siku NNE system yenu haitoi control namba na kila mkiulizwa mnatoa majibu mepesi " subir baada ya dk 20/ masaa 3" halafu baada ya muda huo hali inakua hivyo hivyo...
Chuo kikubwa kama udom kweli mmeshindwa kutatua hii kero au kwasababu ile technical team mmewekana kwa kujuana ndo maana wanakua hamna uwezo wa kufanyia kazi mambo madgo kama haya ??
Leo ni tarehe 26/8 mwisho ya application ni tarehe 29/08 hebu toeni tamko kama imeshindikana hawa watoto watafute vyuo vingene vya kuomba sio mnakaa tuu, kila mkipigiwa simu mnacheka Cheka tuu ... mnakera sana udom na ndo maana hiki chuo kitaendelea kutoheshimika miaka yote...
mnashindwa hata na vi college vidgo vinakua serious bhana...