Chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu

Chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu

Oya wanangu wa DUCE pigeni kelele🗣️🗣️🗣️😂
 
Wakuu habari zenu.

Naomba msaada kujua chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu kwa ngazi ya degree kwa mkoa wa Dar es salaam.

Natanguliza shukran .
shida ni kwamba ukisomea ualimu hauwezi kujiajiri, kwanini labda usiangalie kitu kingine cha kusomea mdogo wetu, au lengo ni kuwa na degree, em soma vizuri guidebook.
 
Back
Top Bottom