Chuo cha ustawi wa jamii-DSM, nipeni data..

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Ngugu wanajamii, kama kuna mtu mwenye data kuhusu chuo cha ustawi wa jamii Dsm tafadhali anishushie.nahitaji kujua kuhusu kozi mbalimbali na ada zake. kama kutakuwa na prospectus au website site yao yenye taarifa hizo nijuzeni.ahsanteni
 
Jamani,naomben mniambie wanafunz wapya Chuo cha Ustawi 2011,wanaanza kusajiliwa lini jamani wengn 2mechoka kucubir mpaka bac.Na je inavyocemekana kwamba hakina hadh ya kupokea wanafunz wa bachelor mpaka kipatiwe ithibati mpya ni hadi wa diploma na certficate,au inakuaje?naomben mnisaidie.
 
Back
Top Bottom