muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
nimepita chuo cha udom Leo nilikuwa namishe zangu, dah nilikuta pale main administration scene ya ajabu sana yan mwamwanafunzi aliingia akiwa amevaa yale masuruali mapanaa jaman, kuna wadada pale reception walimuanzishia na ma askari juu wanamlazimisha atoke nje asihudumiwe. .nikasema ngoja nione movie. .yule dada alifanikiwa kufika mpaka anapohitaji ..basi huku chini wakaitwa maaskari na watu kadhaa wakazuie asihudumiwe. .ikabidi a shush we na escot!inavyoonekana yule dada anajua haki zake pia alikomaa sana aachiwe apate huduma kwani alichovaa hakipo nje ya code za umma, aisee sijui iliishiaje ila yule dada anilimuacha nje analia kwa hasira mno! nikabidi nimpe tuu moyo ila nikasema hiki sio chuo inavyponekana hata watu wanaoajiriwa pale wengine sio professional at all..sababu kuna time alikuwa akiwajibu kingereza wanamuambia unajifanya msomi[emoji13] dah kwa hii mambo elimu ya bongo tutasubiri sanaa sikutegemea chuo kikubwa kama kile kiwe kina mambo za ajabu vile ila scene ilinigusa mno. .,nb:inawezekana sio wote ila kwa nilivyosikia sio mara ya kwanza wateja kudharilishwa pale na uongozi unalifumbia macho !kuna shida kubwa katika sekta za elimu bongo. .Acha nisubiri kwanza ntasomea nje my second degree
nilishamalizaga ud kitambo undergraduateMkuu upo mwaka wa ngapi wewe na unasoma course gn
akili zako zinahitaji hilo jina lla hiyo dawa unayojiitia embu nitokee hapa we nae hujalazimishwa ku comment ndio walewaleUtasomea nje second degree... unataka kutuambia kwa uandishi huu umeshapata au unasomea first degree??? Unasoma/ulisoma chuo gani??
ELIMU, ELIMU, ELIMU!!
afu sijaku4ce kucomment wa wapi wewe? kusikia second degree umepanick unataka wote tuishie last saba ka wewe embu hepa huko ..ts my page napost nikatavyo ukiona imekugusa unapita tuu ushasikia we mbaba jiheshimu Kwanzaa kama ndio wewe unaeongelewa imekugusa take a chill pill and relax khaUtasomea nje second degree... unataka kutuambia kwa uandishi huu umeshapata au unasomea first degree??? Unasoma/ulisoma chuo gani??
ELIMU, ELIMU, ELIMU!!
ELIMU, ELIMU, ELIMU!!!akili zako zinahitaji hilo jina lla hiyo dawa unayojiitia embu nitokee hapa we nae hujalazimishwa ku comment ndio walewale
mwenye chuki nani sasa hapo mimi au huyo receptionist alie muitia security mwanafunzi kwa kuvaa suruali Pana?Duh! Chuki nyingine duh
tena ianze na wewe hahhahhhhELIMU, ELIMU, ELIMU!!!
Ulisoma course gan hapo UD? kuna kitu nataka unifahamishenilishamalizaga ud kitambo undergraduate
sasa kama hauna uhakika si ungebaki neatral? una uhakika gani alikuwa kavakavaa hovyo?Ungeleta ushahidi wa picha ningekuunga mkono lakini maneno matupu hapana, huyo alikua amevaa vibaya
bcom marketing 2009Ulisoma course gan hapo UD? kuna kitu nataka unifahamishe
uwii hahaha kumbe hiko ndicho kilichowauma dah. .basi wakati ninaandika hata sikuwaza huko. .dhumuni was to say degree ya pili bora tukachukulie nje!cheuwiii mbna degree level ndogo sana ya elimu I'm actually embarrassed to mention?kumbe imetoa watu roho heee[emoji13]hakukuwa nahaja kujitambulisha kama una degree moja.
Sasa udom imekuaje majanga ili hali unamuongelea huyo dada yako mvaa suruali na utawala wa chuo.Siku nyingine ujifunze kutafuta heading nzuri na si kukurupuka
hapanaMkuu uko ucc?