Chuo cha TANESCO Morogoro Nacho Kitarudishwa Serikalini?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,192
1,971
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.

Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini?

Tutende haki kwa pande zote plse!
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!

Umesema zitarudishwa mali za waislam na wakristo hapo mali za serikali zinaingiaje?? au kwako wewe mali za serikali ni mali za wakristo?? Acha mhemko!!
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!
Waislam wa Bakwata, wanajenga Chuo chao Dodoma, watarudisha cha morogoro
 
Chosen generation ,chuo cha kupewa bure huwezi kuwa na uchungu nacho.

Nashauri wenyewe wakitudishe wajichangishe kwenye nchiza kiarabu marafiki zao kama Palestina, Afghanistan,Iraq,Libya wawajengee chuo
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!

Wakirudisha Mali za East Africa Muslim Welfare Society zilizoporwa na Julius Nyerere 1967 na kuzikabidhi kwa "Ewura" ya kuwadhibiti Waislam Bakwata basi nami nitaunga Mkono wazo lako.
Jana ilipaswa Rais awaombe radhi Waislam kwa vitendo vya kifisadi vya Wakala wao Bakwata ambae tangu inaanzishwa Waislam hawakuitaka.
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!

Hoja ya Raisi ilikuwa very simple... kuwa mali za waislamu ambazo zinashikiliwa na watu wengine isivyo halali. Kile Chuo kilitolewa kwa Waislamu na serikali kwa makubaliano maalum
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!
wAKRISTO HAJAWATAJA PLEASE
 
Back
Top Bottom