nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
shukrani mkuu haki itendeke pande zote...Kantalamba secondary na Kantalamba Ttc
shukrani mkuu haki itendeke pande zote...Kantalamba secondary na Kantalamba Ttc
Kwani wakristo hawakupewa mali za umma.Mjadala wa chuo cha moro ulishafungwa na benjamin mkapaYaani kudai Mali ya umma ni uchizi?
Acha uongo we dogo! Biashara ya boda boda huwezi kuingiza hizoJikite kwenye hoja mkuu;
Mambo ya hizo 2 milioni hayatuhusu. Mimi kwa mwezi naingiza zaidi ya hiyo.
Hoja ya mleta mada inaeleweka mbona.
Ha ha ha! Basi sawa.Acha uongo we dogo! Biashara ya boda boda huwezi kuingiza hizo