Chuo cha TANESCO Morogoro Nacho Kitarudishwa Serikalini?

Chuo cha TANESCO Morogoro Nacho Kitarudishwa Serikalini?

naomba na shule zile za wakristo zilizotaifishwa na serikali zirudishwe hapo rais atakuwa ametenda haki. shule hizo mifano yake ni Kigonsera, Ndanda, pugu nk.
 
Hapa mnajadili nini na nini itakuwa hatima yake kwa kuzingatia muda, fedha na akili mnayotumia?
 
Wakirudisha Mali za East Africa Muslim Welfare Society zilizoporwa na Julius Nyerere 1967 na kuzikabidhi kwa "Ewura" ya kuwadhibiti Waislam Bakwata basi nami nitaunga Mkono wazo lako.
Jana ilipaswa Rais awaombe radhi Waislam kwa vitendo vya kifisadi vya Wakala wao Bakwata ambae tangu inaanzishwa Waislam hawakuitaka.
Mali gani walikuwa nazo EMWS mpaka zirudishwe?
 
hapa naona mgogoro Mkubwa ea kidini endapo huyu JPM ataendelea kufanya mambo yenye mrengo wa kidini!!! Time will tell
 
Kwahiyo taasisi za Wakristo zenyewe hazirudishwi?

Hakika hii Dhana nzuri sana, mnufaika ni wakristo Eg Sumbawanga mjini serikali haitabaki na kitu vyote vitaenda Kanisa Katoliki
 
JPM amedai kuwa atarudisha mali zote za Waislamu na Wakristo. Sina uhakika kama atarudisha na zile zilizotaifishwa na Serikali ya JKN au la.
Hoja yangu ni kile Chuo cha TANESCO Morogoro ambacho hakikuwa cha Waislamu bali cha Serikali, je, Kitarudishwa kwa wenyewe yaani Serikalini? Tutende haki kwa pande zote plse!
Tanesco au Serikali wamekwambia wanakitaka ? au wakati wanakitoa hawakujua kuwa wanawapa jumuia ya Kiislaam ?...au basi tu na wewe uweke post yako hapa kupunguza maumivu yako ya chuki juu ya Uislaam ?
 
Hapa mnajadili nini na nini itakuwa hatima yake kwa kuzingatia muda, fedha na akili mnayotumia?
Kwa nini Waislaam wapate, wakati wao ni second claas citizen ! ....kuna WaTz wajisahu sana !
 
Wakirudisha Mali za East Africa Muslim Welfare Society zilizoporwa na Julius Nyerere 1967 na kuzikabidhi kwa "Ewura" ya kuwadhibiti Waislam Bakwata basi nami nitaunga Mkono wazo lako.
Jana ilipaswa Rais awaombe radhi Waislam kwa vitendo vya kifisadi vya Wakala wao Bakwata ambae tangu inaanzishwa Waislam hawakuitaka.
Kwa kweli wamerudishwa nyuma sana baada ya kufutwa kwa East Africa Muslim Welfare Society. Sijui ilikuwa ni uoga. Waislamu wamekuwa wanasimangwa sana na hicho Chuo cha Morogoro wakati walikuwa na mipango mizuri ya kimaendeleo chini ya East Africa Muslim Welfare Society.
 
Kwahiyo waislamu mnatuambia "ewura yenu ni BAKWATA"?

Okay leo nimejifunza kitu jf!
 
Umesema zitarudishwa mali za waislam na wakristo hapo mali za serikali zinaingiaje?? au kwako wewe mali za serikali ni mali za wakristo?? Acha mhemko!!
Mimi ni mkristo. Ila nakupongeza kwa hilo jibu ulilomjibu huyo mpuuzi.
 
Hapa mnajadili nini na nini itakuwa hatima yake kwa kuzingatia muda, fedha na akili mnayotumia?
Tunataka mali ya Serikali irudishwe Serikalini!
 
Kwahiyo waislamu mnatuambia "ewura yenu ni BAKWATA"?

Okay leo nimejifunza kitu jf!
Duhh, mkuu kwa waislamu hiyo kitu inayoitwa BAKWATA hawataki kuisikia kwa sababu haiwasaidii na imekuwa inafifisha maendeleo yao.
 
Tanesco au Serikali wamekwambia wanakitaka ? au wakati wanakitoa hawakujua kuwa wanawapa jumuia ya Kiislaam ?...au basi tu na wewe uweke post yako hapa kupunguza maumivu yako ya chuki juu ya Uislaam ?
Kwani Waislamu wamedai kwamba wameuza ardhi kwa Wafanyabiashara kisha baadaye wakajishtukia kwamba wameingizwa mjini?
 
Duhh, mkuu kwa waislamu hiyo kitu inayoitwa BAKWATA hawataki kuisikia kwa sababu haiwasaidii na imekuwa inafifisha maendeleo yao.

Kwani BAKWATA sio ya Waislamu? Na Kama sio ya kwao si waachane nayo?
 
Umesema zitarudishwa mali za waislam na wakristo hapo mali za serikali zinaingiaje?? au kwako wewe mali za serikali ni mali za wakristo?? Acha mhemko!!

Hahaha jini kataja Jina....... full mhemko
 
Back
Top Bottom