Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,657
- 3,773
Naamini mamlaka huska zitafanyia kazi
KabisaMtoa mada anapigania maboresho ya miundombinu ya taasisi, ni jambo jema. Kanisa liache kuotesha vyuo vingi kila mkoa mithili ya uyoga. Badala yake ingejenga vyuo vichache vyenye ubora. Leo hii karibu kila mkoa kuna tawi la SAUT
Mkuu mbona unapiga kwenye mshonoMimi sio first year mkuu,lakini ukweli lazima usemwe.Chuo kinazidiwa mazingira na shule ya St Jude-Arusha.