Chuo cha MUHAS chalazimishwa kutoa mapema matokeo ya undergraduate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha MUHAS chalazimishwa kutoa mapema matokeo ya undergraduate

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mayoscissors, Jul 26, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Baada ya serikali ya JK kufanya maamuzi ya kuwafukaza interns 380 sasa inahaha kuwatafuta wengine na jitihada zake ni kulazimisha matokeo ya mtihani uliomalizika wiki moja iliopita ili interns wote wasambazwe kuokoa jahazi ambalo limepinduka na karibia kuzama kabisa la huduma za tiba tanganyika.

  Hii imefanya senate ya chuo cha muhas kukaa mapema isivyokawaida na swali kwa serikali je hao interns atawalipaje?
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  waje waokoe wagonjwa wanaoteseka.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watalipwa kama walivyokuwa wanalipwa wale waliogoma na wao wakidengua wanapigwa chini.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nakumbuka mwezi january serikali ilipeleka interns wapya ambao baadaye walijiunga na mgomo.kwa hiyo ni yale
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Serikali dhaifu hufikiria mambo dhaifu na matokeo yake kila kitu kinaamuliwa na maamuzi ya kizimamoto, na mpaka JK kumaliza kipindi chake cha moto tutakua tumekiona kwa wale tutakao kuwa tumejaaliwa kupona
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kwani wameshindwa kuwaleta wale madaktari waliosema wanatoka nje????? u-doctor taaluma nyeti baana
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mna kazi mwaka huu baada ya kamgomo kenu kuchemka
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Wale wakutoka nje ina maana ilikuwa vitisho tu? Lakini si mbaya kama waki leta hao ili mradi waokoe maisha ya watu.
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  hapo nadhani wote watapasishwa ili waokoe jahazi
   
 10. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una haki kusema hivyo, wewe c uzao wa mafisadi wanaoliua taifa hili? Remember"freedom is coming tomorrow"
   
 11. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna madaktar wanatoka kenya
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wala si utani....ka'mgomo' kamechemka....lakini kama una hata brain cells 2 tu kwenye hilo fuvu lako (wala huhitaji kilo nzima ya ubongo)...utaona kuwa ni swerikali na wananchi wanaoteseka na 'aftermath' ya mgomo huo...sio maDaktari!
   
Loading...