Vyuo vya ISLAMIC STUDIES vimejaa dunia nzima ulaya na hata marekani vipo SEARCH ktk mtandao vimeja teleee binafsi niliwahi kupata admission ktk chuo kimoja kipo London uengereza kwa ajili ya kufanya M.A Ktk ISLAMIC STUDIESNdugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Hakuna Chuo hapo nikujilazimisha tu kuongea kiarabu broken unatunukiwa fasterNdugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Wewe utakua MSHENZI usioelea chochote mjinga mpotofu unashindwaje kushindwa hata kwenda net ukajua ukweliSawasawa nilikua najiuliza sana. Kama sheikh ni cheo cha kidini iweje wengi ni washenzi tu hawafuati maadili ya kidini. Kumbe hata mimi naweza kujiita sheikh Deceiver.
Nafunga mjadala
ndio ushatajaHuu mjadala lazima mapadri watakuja kutajwa tuu mwisho wa siku
[emoji3][emoji3]mbona hasira sasa mkuu?Wewe utakua MSHENZI usioelea chochote mjinga mpotofu unashindwaje kushindwa hata kwenda net ukajua ukweli
Kwa taarifa yako wee MBURU MATARI kuna wakristo wanasoma UISLAM kwa kufuata fursa kuna topic e.g. ISLAMIC BANKING ambazo wahitimi wake wanakamata ajira ktk mabank ambazo sasa hiv karibu bank nyingi wanacho hiko kitengo cha ISLAMIC wewe endelea kininginiza govi lako tuu
Kuna ma profesa wanaofundisha ISLAMIC STUDIES hali wenyewe si waislam wanaendelea kukamata mshiko kama kawaida
Pole yako wakati mwengine usijiweke uchi kichwa chako kwa kuleta UZI WA KIJINGA KM HUU
Weka chuki pembeni jitafutie elimu
Nimesahau kukuliza vile tayari ushaokoko na unashiriki maombi ya kufufua wafu??
Wapi nmetaja wanaJF?Kwanini unatuita wana jf wenziyo kuwa ni makafiri kaka tumekosea nini au unachuki tu na sisi
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
[
Tunaangalia uwezo wako wa kuhifadhi Qur'an na kivip unaitumikia.
Ushekhe kigezo mojawapo ni umri. Yaani uzee kwa hiyo subiri tu umri.hayo mengine subir wafuasi wa makka wajeNdugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Huko hakuna chuo, tunapewa na mwenyezi Mungu moja kwa moja
Usiwe unaandika pumba alafu nizifume utajuta mimi ni kiranja wa JFNdo akili zako zilivyo. kwa hapa uļipofikia haya matusi sïwezí bishana nawe maana siwez tukana
KiranjazuzuUsiwe unaandika pumba alafu nizifume utajuta mimi ni kiranja wa JF
Swali langu ni simple sana. Naomba kujua chuo cha masheikh na mimi nikadsome nislim.....SIMPLE povu la nini?Wewe utakua MSHENZI usioelea chochote mjinga mpotofu unashindwaje kushindwa hata kwenda net ukajua ukweli
Kwa taarifa yako wee MBURU MATARI kuna wakristo wanasoma UISLAM kwa kufuata fursa kuna topic e.g. ISLAMIC BANKING ambazo wahitimi wake wanakamata ajira ktk mabank ambazo sasa hiv karibu bank nyingi wanacho hiko kitengo cha ISLAMIC wewe endelea kininginiza govi lako tuu
Kuna ma profesa wanaofundisha ISLAMIC STUDIES hali wenyewe si waislam wanaendelea kukamata mshiko kama kawaida
Pole yako wakati mwengine usijiweke uchi kichwa chako kwa kuleta UZI WA KIJINGA KM HUU
Weka chuki pembeni jitafutie elimu
Nimesahau kukuliza vile tayari ushaokoko na unashiriki maombi ya kufufua wafu??
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Ndg yangu ni bora ustake kufukunyua hivyo vyeo vinavipatikana. Kuna mambo ya ajabu Sana. Staki maswali.
[emoji3][emoji3]mbona hasira sasa mkuu?
NDIO NISHAKUJUZA DUNIA NZIMA VIPO SASA UNATAKA NIKULIPIE ADA NAULI AU UNATAKA MSAADA GANI KUWA MUWAZI AU USHAKUNYWA MBEGE? Kwa maana sikufahamuSwali langu ni simple sana. Naomba kujua chuo cha masheikh na mimi nikadsome nislim.....SIMPLE povu la nini?
Hatukuelewi ujue.Bado sijapata jibu sahihi.
Kwa ivo hata mume wa Amber Rutty anaweza kuwa sheikh kama atavaa kanzu na kofia na atafuga midevu