Ukimaliza juzu moja madrasa unakua shekh/Ustadh
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Sometime bora ukae kimya kama haujui kitu hiyo ndio hekimaUkimaliza juzu moja madrasa unakua shekh/Ustadh
Hakuna sehemu wanapo fundisha usheikh usheikh ni cheo cha heshima kwa mtu yoyote yule ustaadhi na maulamaa kama hupo dar vipo vingi sana tu kumbuka ukiwa na elimu kubwa ya dini unaitwa mwanazuoniNdugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Angalau wewe umenipa mwanga. Wengi wetu kumbe tunaitana sheikh tu bila kujua u sheikh unanunuliwa au kusomewa kumbe ni cheo cha heshma kama vile mstahiki au mhashamHakuna sehemu wanapo fundisha usheikh usheikh ni cheo cha heshima kwa mtu yoyote yule ustaadhi na maulamaa kama hupo dar vipo vingi sana tu kumbuka ukiwa na elimu kubwa ya dini unaitwa mwanazuoni
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Ukimaliza juzu moja madrasa unakua shekh/Ustadh
Ni heshima tu hakina maana zaidi ya hapoAngalau wewe umenipa mwanga. Wengi wetu kumbe tunaitana sheikh tu bila kujua u sheikh unanunuliwa au kusomewa kumbe ni cheo cha heshma kama vile mstahiki au mhasham