Chuo cha maendeleo ya jamii tengeru kiache kufelisha hovyo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Hiki chuo ni cha kutumbua haswa management maana kinafelisha wanafunzi hovyo kina waalim wanaofelisha wanafunzi bila sababu
Chuo ni cha serikali ila wanafunzi wa cheti na diploma wanalipa ada kubwa milioni na nusu
Aibu sana hii wanafelisha wanafunzi hovyo
Malecture wake wanasahihisha vibaya sana
 
Kwa kawaida chuo hua hakifelishi ili kuendelea kujihakikishia supply ya wanafunzi/ wateja wao.
Hiki ulichokitaja kimetisha.
 
Kuna kila dalili kuwa una information unataka kutupa, zinaonekana zina ushahidi mzuri tu!!!

Tiririka nani wamefelishwa.

Wamefeliii au wamefelishwa.
 
Hiki chuo ni cha kutumbua haswa management maana kinafelisha wanafunzi hovyo
Ok! Hii ndio hoja ya msingi...

ila wanafunzi wa cheti na diploma wanalipa ada kubwa milioni na nusu
Sasa kama hoja ni kufelishwa mambo ya ada yanaingiaje hapa!!!???

Aibu sana hii wanafelisha wanafunzi hovyo
Malecture wake wanasahihisha vibaya sana
Kaa darasani soma! Acha starehe za kipumbavu....Unafeli halafu unakuja kusingizia walimu huku JF....
 
chuo kitumbuliwe tu haiwezekan wanawakamua wanafunzi kwa kuwapa sup kwa maksud kisa hujahudhuria kipind kimoja haiwezekan wanafunzi wanakesha uck na mchana wanafunz wakisoma mtu apate gpa ya 2.0
halaf lecture anasahihisha anavyojiskia tu kama darasa limewah kumkataa basi anawasapua wote
 
Hajawahi tokea mwalimu ambae lengo na nia yake ni kufelisha wanafunzi, hacha ubishoo, simu kubwa, headphone masikioni kila wakati, suruali mregezo, chupi nje, nywele kiduku, ata nikiwa mimi nakufelisha tu
 
Duh mkuu umemchana live hata Mimi nahisi anatabia hizo.
 
Pole kwa kufeli acha ubishoo kijana Apply kwingine Komaa na Masomo utatoka tuu.
 
hivi vitoto vya CDTI tengeru navijua vizuri mnoo. ubishoo mwiiiiiingi kila siku kukaa sumni bar na tripple k lodge na kuvizia mademu siku ya soko j5 na j1 badala ya kusoma... endeleeni tu kulalamika badala ya kusoma kwa bidii
 
Hiki kizazi cha JK kinapenda mambo ya short-cut na siasa kwenye masomo kama baba zao.

Kama mnajibu maswali kwa ku-google na visimu vya mchina badala ya kusoma vitabu mtumbuliwe tu.
 
Hiki chuo ni cha kutumbua haswa management maana kinafelisha wanafunzi hovyo kina waalim wanaofelisha wanafunzi bila sababu
Chuo ni cha serikali ila wanafunzi wa cheti na diploma wanalipa ada kubwa milioni na nusu
Aibu sana hii wanafelisha wanafunzi hovyo
Malecture wake wanasahihisha vibaya sana
Kama umepiga A,hakuna wa kukufelisha,soma kwa bidii
 
soma shule acha kulalama tatizo mnapenda kushinda kutwa nzima kwenye social network bila kusoma
 
Back
Top Bottom