Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
Duh!mambo ya ubunifu katika ujasiriamali!!
Teh teh teh !haya ndiyo maendeleo ya sayansi na teknologia!!soon tutasikia veta wanaanza kutoa mafunzo haya
Teh teh teh !haya ndiyo maendeleo ya sayansi na teknologia!!
Eti wanasema kuna the highest level of creativity in our country!Tatizo nchi yetu, kila kitu tunakigeuza kuwa fedha. Huu ni wizi